M Mr Chin JF-Expert Member Joined Apr 2, 2015 Posts 4,625 Reaction score 1,024 Aug 28, 2015 #1 Teyari wamesha anza kuwasomba. Ipo kazi kubwa sana mwaka huu.
luofe JF-Expert Member Joined Dec 31, 2011 Posts 330 Reaction score 144 Aug 28, 2015 #2 uongo mkubwa ....ko waende dar na hicho ki mkokoteni???? watu wa **** ( kundi la magufuli ) hamjielewi
uongo mkubwa ....ko waende dar na hicho ki mkokoteni???? watu wa **** ( kundi la magufuli ) hamjielewi
M MCHUMIPESA JF-Expert Member Joined Mar 11, 2012 Posts 2,088 Reaction score 259 Aug 28, 2015 #3 hahahahaaaa watu wa nini mkuu kundi la ......???
Mangungo II JF-Expert Member Joined Jul 6, 2012 Posts 18,227 Reaction score 27,063 Aug 28, 2015 #4 luofe said: uongo mkubwa ....ko waende dar na hicho ki mkokoteni???? watu wa **** ( kundi la magufuli ) hamjielewi Click to expand... Naona tafsida imezingatiwa kiaina
luofe said: uongo mkubwa ....ko waende dar na hicho ki mkokoteni???? watu wa **** ( kundi la magufuli ) hamjielewi Click to expand... Naona tafsida imezingatiwa kiaina
Ryaro wa Ryaro JF-Expert Member Joined Oct 4, 2010 Posts 2,659 Reaction score 1,430 Aug 28, 2015 #5 CHADEMA/UKAWA Hawatakaa Wasombe Watu Kwenye Maroli Kama CCM.
Hornet JF-Expert Member Joined Apr 29, 2013 Posts 26,892 Reaction score 52,492 Aug 28, 2015 #6 Yaaani watu wa kyu.... Mnahangaika sana
M Mr Chin JF-Expert Member Joined Apr 2, 2015 Posts 4,625 Reaction score 1,024 Aug 28, 2015 Thread starter #7 Mnasomba kokoto
Habari ya Mujini JF-Expert Member Joined Dec 22, 2013 Posts 2,518 Reaction score 1,046 Aug 28, 2015 #8 Duuh jamaa noma wamewapakia warombo na wakibosho kwenye malori ya ng'ombe kisa jangwani ijaee..,
janjamasai Member Joined Aug 27, 2015 Posts 29 Reaction score 2 Aug 28, 2015 #9 sisi hatuchukuliwi na malori kaa ccm tunakwenda kwa pesa zetu wenyewe acheni uongo nyie maccm