Wamiliki wa shule, naomba nafasi ya kujitolea

Wamiliki wa shule, naomba nafasi ya kujitolea

Jipatie Siagi ya karanga

Senior Member
Joined
Apr 20, 2024
Posts
106
Reaction score
287
Habari wakuu.

Nipo DSM kwa sasa nahitaji Shule kwa ajili ya kujitolea. Nina uwezo wa kufundisha masomo yafuatayo;
English
Civics
Kiswahili.

Elimu yangu ni Degree

Hivyo natafuta Shule ya kujutolea kwa sasa hivi.

Call 0658124288.
 
Niliwasikia Tamisemi wakisema walimu wote wa arts mlioajiriwa mwaka huu haijalishi degree ama diploma mnaenda kufundisha shule ya msingi

What a Wastage of resources!!
 
Back
Top Bottom