chinchilla coat
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 5,107
- 10,968
Baada ya marufuku aliyoitoa Makonda na waziri mkuu kupiga marufuku uvutaji wa shsisha, wauza shisha wametaka kukutana na Makonda na waziri mkuu ili kujadiliana na namna nzuri ya kuendesha biashara yao
wamekiri kuwa shisha inasababisha madhara mbalimbali kwa binadamu kama kansa, kuoza fizi, wanawake kujifungua wataoto wenye uzito mdogo,magonjwa ya moyo na magonjwa ya ngozi.
Amesema kwa sasa hivi wamefunga biashara zao hadi watakapokutana na mkuu wa mkoa pamoja na serikali