Wamiliki wa hisa za Vodacom waanza kuuza kwa hasara ya shilingi 100

mkuu ndio biashara inavyokuwa, kwahiyo hata gawio litapungua maana kampuni haifanyi vizuri vilivyo ila itarudi kwenye mhimili Mungu awajalie

haofanyi vizuri mbona kuna magharama ya ajabu sana voda .voda hata kuangalia salio lako tu unakatwa na bado faidi haipTikani kuna shida sana
 
Acha uongo tulinunua kwa TZS 800 na wala si 750. Wewe si mwanahisa hujui kitu. Nenda kanywe mataputapu na vihabari vyako uchwara huko!
Hivi umesoma na ukaelewa au umekimbilia tu kujibu ?
 
ni maamuzi yao tu ila vodacom kufikia hatua washindwe kuperform vizuri sokini sio leo jinsi walivyo wabunifu hebu angalia tu hiyo huduma yao ya vodacom MasterCard
 
Back
Top Bottom