Wamiliki wa hisa za Vodacom waanza kuuza kwa hasara ya shilingi 100

shida watu hawajapata elimu ya hisa kwa undani ....baada ya mwaka unauza watu wamekaaa na hisa miaka kibao au muulize tu anampango wakunufaika ma simba lini kama haitakuwa 7+
 
Shida ya mtanzania anapanda nyanya, siyo mwembe, nakuambia hakuna investment nzuri l9ng term hapa tanzania kupita vodaxom, lakini ukitaka hela ya haraka haraka kapande nyanya
 
naomba na mimi KUUZA hisa za Unit Trust of Tanzania(UTT ) anae zihitaji tukutane Dar es Salaam Stock Exchange PLC (DSSE)
 
mkuu ndio biashara inavyokuwa, kwahiyo hata gawio litapungua maana kampuni haifanyi vizuri vilivyo ila itarudi kwenye mhimili Mungu awajalie
 
Back
Top Bottom