Sidhani kama wamesepa DRC,bado DRC ina utajiri sana.Pale Uganda si kumepatikana mafuta?
sasa huu ndo muda muafaka wa kuchotwa na wamarekani,watajifanya wanalinda usalama kumbe wanakamua wese likiisha haijarishi vita na LRA imeisha ama haijaisha wao watasepa zao na kuiacha Ug kama DRC na Museveni asipokuwa makini ataweza kupelekwa ICC kama Charlz Taylor na wengine wengi...hakika wazungu ni zaidi ya AIDS kwa waafrika