Auntie Ezekiel aliporejea CCM alinunuliwa kwa dau la milioni 50. CCM wana hela za kuchezea. Huyu Eyakuze ni rafiki wa Januari Makamba anayesimamia kitengo cha kununua wasanii. Unganisha dots zako mwenyewe.1. Prof Lipumba alipojiuzulu - amenunuliwa
2. Dr. Slaa alipojiuzulu - amenunuliwa
3. Twaweza wametoa matokeo ya utafiti - wamenunuliwa
Hawa CCM wana pesa nyingi sana, maana kila kitu kinachowaumiza chadema inadaiwa wamenunua wao, hivi kwanini chadema hamkubali uhalisia wa mambo unapotokea?
Ni wazi hata matokeo ya uchaguzi mkuu yatakapotangazwa mtasema Jaji Lubuva amenunuliwa ndo maana ametangaza ushindi kwa Chama Cha Mapinduzi
UKISHINDWA KUBALI KUSHINDWA, KUNUNULIWA SIYO KISINGIZIO
1. Prof Lipumba alipojiuzulu - amenunuliwa

Auntie Ezekiel aliporejea CCM alinunuliwa kwa dau la milioni 50. CCM wana hela za kuchezea. Huyu Eyakuze ni rafiki wa Januari Makamba anayesimamia kitengo cha kununua wasanii. Unganisha dots zako mwenyewe.