Wamemtembelea bibi yao

bibi anatia huruma yaani..ppoz zipo busy na simu zao pambafuu
 
Bibi nae atoe simu yake aendelee kuperuzi....au amcheki Babu.
 
Bibi kabaki anashangaa tu, wajukuu wako JF. Haikuwa na haja ya kumtembelea.

hahahah ila mie ningekua bibi..ningewafanyia viroja najidai nimezimika hahah ili wahangaikee..niwatoe kwenye kuchat..ila ndo tunapoelekea mie naonaga hom ikifika jion kila mtu yuko busy na kasimu kakee..hadi beki tatu mpaka watoto wanasaidiwa homework kwa mbindee
 
Bibi angetimua wote tu, kila mtu arudi alipotoka kuliko kukaa na mazombie.
 

Watakupiga picha na selfie kibao kisha wa upload kwenye jf
 
bibi simu yake ipo kwenye charge au
bibi wa siku hizi wana whatsapp, facebook
 
Hii sasa too much, nina uncle yangu anapenda sana kutupa mialiko kwake, sharti lake la kwanza ukiingia kwake kaweka kapu pembeni ya kabati ukifika tu zima simu weka ndani ya kapu ndio ukae, hutaki nenda kwako hii nahisi imesaidia sana maana nikienda nahisi kama nimeweka mzigo fulani na pia najihisi kama mtu mpya kabisa,
 
Hii ndiyo hali halisi kwa hivi sasa.

Inatakiwa itungwe sheria ya kupiga ban simu za mikononi kwenye family issues..... ha ha ha musije nipiga ban mimi kwa propozo yangu ya kuwakosesha fesibuku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…