Wameiba kura uko wapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wameiba kura uko wapi?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mu-sir, Jan 24, 2011.

 1. Mu-sir

  Mu-sir JF-Expert Member

  #1
  Jan 24, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 3,638
  Likes Received: 460
  Trophy Points: 180
  Kwenye moja ya threads zako uliwahi kusema juu ya kufungua dojo kwa ajili ya kufundisha kung-fu mwezi huu wa January. Mimi ni mmoja wa wapenzi wakubwa wa mchezo huu na ninasubiri kwa hamu sasa sijui umefikia wapi ndugu yangu. Au ndo wameiba kura?
   
 2. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #2
  Jan 24, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,292
  Likes Received: 315
  Trophy Points: 180
  Bado yupo likizo ya x-mas mkuu
   
 3. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #3
  Jan 24, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 23,994
  Likes Received: 2,717
  Trophy Points: 280
  mbona darasa tushaanza...wewe ulikuwa wapi?
   
 4. Mu-sir

  Mu-sir JF-Expert Member

  #4
  Jan 24, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 3,638
  Likes Received: 460
  Trophy Points: 180
  preta mbona hatupeani taarifa? Mimi niko huku kwenye joto. Vipi darasa limeanza lini? Na je unamudu mazoezi.... Au ndo ulishakimbia.
   
 5. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #5
  Jan 24, 2011
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,819
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Mkubwa ile ilikuwa filmee
   
 6. Mu-sir

  Mu-sir JF-Expert Member

  #6
  Jan 24, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 3,638
  Likes Received: 460
  Trophy Points: 180
  likizo gani isiyoisha mkuu. Mbona wengine tulisha sahau kabisa habari hizo.
   
Loading...