Walt white
JF-Expert Member
- Jan 17, 2017
- 315
- 798
Naona mitandao mengine imekuwa mizito hasa Facebook na WhatsApp, na kusearch Google. Au nitafute simu nzuri?
Usijali tumia VPNNaona mitandao mengine imekuwa mizito hasa Facebook na WhatsApp, na kusearch Google. Au nitafute simu nzuri?
Asante, hofu yangu ni kwa watanzania wengi wasioijua vpnUsijali tumia VPN
HakikaWatayalipia haya, swala la mda tu