Wamefikia wapi na mifuko ya hifadhi ya jamii

Wamefikia wapi na mifuko ya hifadhi ya jamii

PCZZO

Member
Joined
Jul 4, 2012
Posts
11
Reaction score
0
Ukweli ni kuwa sikupata muda wa kusikiliza vikao vilivyoendelea bungeni hivi karibuni.Hasa kuhusiana na uundwaji wa sheria mpya ya mifuko ya hifadhi ya jamii wastaafu wake kuchukua malipo yao baada ya kuifikisha umri wa miaka 54 na kuendelea plz yeyote alisikiliza naomba kwani mimi pia ni mwanachama wa mfuko mmoja wapo wa NSSF na ikiwa ndo kwanza nina umri mdogo wa miaka 30wabunge wetu wanatuangusha tulichowatuma icho wanachokifanya.
 
Back
Top Bottom