Wamechelewa kugoma

Wamechelewa kugoma

Joined
Jul 28, 2012
Posts
13
Reaction score
3
Huu mgomo wa walimu ambao unaendelea na unapamba vichwa vya habari vya magazeti mbalimbali umeanza kwenye muda muafaka?.Nimeuliza hivyo kwa sababu tarehe 3 mwezi wa 8 shule za serikali zitafungwa au utadumu mwaka mzima?
 
Tarehe tatu shule zinafunga, sio za serikali tu, but after holiday, mgomo utaendelea kama serikali itakuwa haijayafanyia kazi madai yetu. Hakuna kulala, au ulitaka kufahamu nini?
 
Back
Top Bottom