Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,348
- 26,144
ni vyema kujiuliza kwanini kuna watu ni hao hao tu ndio wamekuwa wakitaka uongozi wa mpira siku zote, je hakuna wengine wenye uwezo wa kuongoza? wanachama wawe na fikra mpya ili timu yao ipate mafanikio ya kimataifa.
mtu anayetaka uongozi kwa kutumia pesa ni wa kuogopa sana
Wambura anatosha, hizo tuhuma zote alishakuwa cleared, tafuteni hoja zingine!
wachumia tumbo wote mwisho wenu umefika
Nyinyi yenu mshayatambua?Haka ka sarakasi kaendelee hivi hivi hadi wachague viongozi bomu ili Jangwani tuendelee kukaa kwa amani bila ya kuwa na hofu na Mnyama, tuelekeze nguvu kumdhibiti Azam peke yake.
Nyinyi yenu mshayatambua?
Bado, aliachana na hilo wazo baada ya kutokuwa na uhakika iwapo na Mzee Akilimali angegombea upande wa Yanga. Huyo ndiye ambaye Rostam angependa kupambana naye.Bado, tunaanza kwenu kwanza, mchemke; vipi Rostam Aziz kachukua fomu ya uPresida?