Hahahaaaaa... ujue Dinazarde ukisimamia ivyo vigezo vyako bado si sababu ya kuwa ule ni mchina. May be unaweza ukawa ni mchina ndio sikatai ila sio kwa vigezo unavyovitumia....
Watu wengi ni wanene na miguu ni hewa kabisa wapo sema surual zinawastiri.
Labla kama kuna vigezo vingine ila kwa kila kinacho happen kweny shep ya wema ni vya kawaida ata mtaani wapo watu wa ivyo
Yale ni mabonde na vigingi na vitobo...sipati picha akiwa mtupu anavovutia
Mzuri sana.
Pata picha umepata bahati hiyo maridhawa ya kuwa naye japo kwa masaa 3 tu.
Labda kupigia punyeto ila shepu hell no....kajala au uwoya ndio wameumbika
Kwanini nasema ule ni mchina
1.ulivoumuka ulikua very sex and proportional.Kiuno kuntu, nya imesimama, hips inaeleweka.
2 .Ghafla, likaumuka zaidii na kuanza kutepeta na kushuka.
3.presence of Mabonde na vizingiti na hips kuwa nne tako kuota pembe na goti kuelemea.
4 wema ana historia ya kuabuse vipodozi mfano kujichubua mpaka kuwa mweupe zaidi ya albino, kuweka lens na miurembo ya macho mpaka macho kuwa kama uanavimba.
Nakubaliana Wema ni mzuri na anapendeza ila pale cosmetic maneuver imehusika.
Hahahaaaa shost umenichekesha sanaa.
Lollll
Hallo hallo ya swrengetiii boy kuamaua kuoa kijana mwenzieee
#shwariiiii !?
Mbona kama huu ubuyu mtamu.....ebu utilie na pilipili mama ni enjoy
Kumbe wote hapa wa-mbeya???? Tusalimiane kinyakyusaaa jaman
Uwoya na yale manyama uzembe na tumbo lile la bia na makande?
Mama yake sukariguru ya warembo wote hapa east africa, a.k.a kisu a.k.a serengeti boi wa Zarina, mla makombo ya Ivan...
Mamake, alikua ana kiserengeti boi chake kakifanya kama kihouseboi, sasa mateso yamezidi akaona isiwe tabu kazi kudeki na kutumikishwa tu.
Si akaenda kuo, sasa bibie kamtuma dada yake ambembelezee kijana arudi kwa mama.Sasa bidada akasema ataandamana kijana swalehe arudi, chezeya mahaba wewee...utaumwa ugonjwa hewaaa!
Sasa kijana akamrekodi bwanaaa
Haa, si wambeya wakaipata iyo voiceclip...ni sheeda Dinazarde, Kimbley, mzurimie
Mjue umbeya ni umbeya tu, mbona sioni kama mmeumung'unua huu au una pilipili nyingi??

Oooowww mwanamke umbea suna bibi...
Eeeenheee huyo swalehe ni yule ninaemjua mimi? Mmmmhh na pale alipokuwa anatapika kulikoni? Loooh kweli ng'ombe hazeeki maini
Loooooooooooooohhhh mahaba niue.Yani huyo kijana alikua analelewa tuu, anakula pesa ya sukari guru, anapika na kupakua, anadeki na kufua.
Inshort alikua kama shambaboi wa familia.Alikua anaishi kwa bibie hapo.Na hapo biboe alikua anaumwa anapelekwa hospitali nakwambia.
Sukari ashawahi kuulizwa issue za kijana aligoma kuzungumza lolotee.Ila kijana ameteseka muda mrefu sana akaamua isiwe shida kama kujenga ashajenga na savings kibao anazo Akachapa lapa akaenda oa, sasa picha zikazagaa nasikia bibie ndie akapaniki wachaaaa
Loooooooooooooohhhh mahaba niue.
Nasikia alibeba mimba loh akatoa kukwepa aibu sasa sijui ni kweli...niliisoma mahali IG LOOOOHHH KAMA NI KWELI NI SIIIIIGIDAAAA
Ha ha ha kitaachaje kwani si kitakua nacho kimeguswa na dawaHalafu vilaza wake wanamsifia mzuri cjui kma kinyeo nacho hakijaumuka
warumi, nifah, dinaz pita mmu niweka picha ya madhara makalio ya kichina
Ha ha ha kitaachaje kwani si kitakua nacho kimeguswa na dawa
Bado ipo nije? Maana ndio naingia huku sasa hivi.