Wamasai Wamvaa Kikwete

Wamasai Wamvaa Kikwete

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,154
Reaction score
13,267
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na viongozi wa jamii ya
wamasai wanaoishi mkoa wa Pwani. Kiongozi mkuu wa jamii hiyo, Laiboni
Tikwa Moreto (wa pili kushoto), Majaliwa Lihalei na Zuberi Tangono
katika hafla ya kuukaribisha mwaka mpya kijijini Msoga, Chalinze,
Mkoa wa Pwani.
j2.jpg
 
View attachment 215058

Nikajua wamemlamba bakora kidgo.
 
Kwahiyo wamemvaa kivipi we chizi kweli.
 
Nachojua mpaka kesho jk ataendelea kuwa kiongozi bora kabisa katika kuwatumikia watu.
 
Unategea utasema nini we na akili zako fupi kama maisha ya funza.?graduate wa udsm mnamatatizo sana.
 
tafakari maana ya kumvaa sio unawaza negative tu
 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na viongozi wa jamii ya
wamasai wanaoishi mkoa wa Pwani. Kiongozi mkuu wa jamii hiyo, Laiboni
Tikwa Moreto (wa pili kushoto), Majaliwa Lihalei na Zuberi Tangono
katika hafla ya kuukaribisha mwaka mpya kijijini Msoga, Chalinze,
Mkoa wa Pwani.
View attachment 215058

mbona naona kila mtu KAVAA nguo zake...
 
hivi wamasai sio watu??

mbona juzi akiongea na wazee wa dar ukusema
WAZARAMO,NA WAMAKONDE WAONGEA NA JK

sipendi mnavyotu consider like something else
 
Back
Top Bottom