Wamasai 150,000 kuhamishwa kwa nguvu!

Kijakazi

JF-Expert Member
Jun 26, 2007
6,413
8,913
Tunaongozwa na psychopath, unahamisha raia 150 000 (laki moja na nusu) kwa nguvu kupisha uwindaji wa Otterlo Business Corporation OBC Emirat?

Mji wa Moshi wote una wakazi laki mbili fikiria Wamasai laki moja na nusu ni kama ufukuze wakazi karibia wote wa mji wa Moshi, This is insane, hata Wakoloni Wazungu hawakutufanyia hivi, pure evil!

----
 
Sasa kama Mtu hataki kuisikiliza Serikali yake atakuwa anataka nini?
 
Tunaongozwa na psychopath, unahamisha raia 150 000 (laki moja na nusu) kwa nguvu kupisha uwindaji wa Otterlo Business Corporation OBC Emirat...
Anayekataa kuhama siyo RAIA Wa Tanzania kwamaana RAIA Wa Tanzania anajua kuwa katiba inasema aridhi ni Mali ya serikali inapotokea fursa ya taifa wahusia hufidiwa kile alichokiweka juu mfana hata hapa kwangu yakitokea madini chini na serikali kuhitaji Mimi nitadai fidia ya nyumba na vile niliotesha juu ngorongoro ni hifadhi ya taifa inapaswa kulindwa
 
Bwana Paskali Mayalla alisema wanahama kwa hiari
Tunaongozwa na psychopath, unahamisha raia 150 000 (laki moja na nusu) kwa nguvu kupisha uwindaji wa Otterlo Business Corporation OBC Emira
Bwana Paskali Mayalla alisema wanahama kwa hiari yao
 
Ndugu zanguni dunia imebadilika tuendane na wakati idadi ya watanzania wote kiujumla inaongezeka kuliko ardhi yetu
 
Samia hataki kabisa kurudi nyuma kwenye hili, atakuwa ameshamuahidi mjomba kazi safari hii lazima ifanyike, ogopa sana mtu mwenye upeo mdogo anapokuwa na msimamo usioyumba.
 
wacha watolewe tu mbona wanapotolewa wengine watu hawalalamiki why only maasai, are they so special than others?afterall nchi haina shida na ardhi hata wakipelekwa wapi watasurvive tu na hilo liwe fundisho kwao wasiwe wema kwa wakenya kuliko nchi yao.
 
Kama ni kweli idadi ya Wamasai imeongezeka sana kuwapunguza siyo vibaya. Ila unawapunguzaje...!!?

Hili zoezi lilitakiwa kuwa kwenye mipango ya serikali na linatakiwa kuchukua zaidi ya miaka 5 mpaka 10. Halafu zoezi zima lilitakiwa properly kuwashirikisha wenyeji na kuwa compensate vizuri sana. Kwa wale ambao watabaki pale wanatakiwa kuwa registered ili kuzuia wahamiaji haramu.
 
Mama anaupiga mwingi tulieni tukamuliwe
 
Mungu wabariki Wamasai
 
Kinachofanyika sasa ni ukiukwaji wa haki za binadamu unaelekea kwenye maangamizi ya kijamii.
 
Kinachofanyika sasa ni ukiukwaji wa haki za binadamu unaelekea kwenye maangamizi ya kijamii.
Kweli ni ukiukwaji wa haki mkubwa. Halfu wanaficha na wanafanya propaganda eti wanahama wenyewe .... sasa kama wanahama wenyewe kwa nini huko wanakokwenda wanawajengea nyumba .......!!
 

Katiba ya familia yako sio ya Tanzania acha ujinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…