Wamasai 150,000 kuhamishwa kwa nguvu!

Kweli ni ukiukwaji wa haki mkubwa. Halfu wanaficha na wanafanya propaganda eti wanahama wenyewe .... sasa kama wanahama wenyewe kwa nini huko wanakokwenda wanawajengea nyumba .......!!
Unapo muambia mtu ahame lazima umuandalie kwa kumpeleka,moja ya maandalizi ndio hayo.
Unapoambiwa kuhama mwenyewe inamaana kuitikia wito bila force.
 
Tunaongozwa na psychopath, unahamisha raia 150 000 (laki moja na nusu) kwa nguvu kupisha uwindaji wa Otterlo Business Corporation OBC Emirat?

Mji wa Moshi wote una wakazi laki mbili fikiria Wamasai laki moja na nusu ni kama ufukuze wakazi karibia wote wa mji wa Moshi, This is insane, hata Wakoloni Wazungu hawakutufanyia hivi, pure evil!

----
Ukiona hivyo ameshajengewa nyumba za kutosha nje
 
Unaongea ukiwa umevembewa maharage sijui ya wapi au ni vile wewe huko kule loliondo
Anayekataa kuhama siyo RAIA Wa Tanzania kwamaana RAIA Wa Tanzania anajua kuwa katiba inasema aridhi ni Mali ya serikali inapotokea fursa ya taifa wahusia hufidiwa kile alichokiweka juu mfana hata hapa kwangu yakitokea madini chini na serikali kuhitaji Mimi nitadai fidia ya nyumba na vile niliotesha juu ngorongoro ni hifadhi ya taifa inapaswa kulindwa
 
Tukiwaambia tunataka katiba Mpya mnawananga wengine kuwa hii inatatizo gani ila ngorongoro lazima wahame hata mkiweka sala gani
 
Mina na wee nani mjinga katiba iliyopo unaijuwe au unanongea kama mwanaharakati
 
Tunaongozwa na psychopath, unahamisha raia 150 000 (laki moja na nusu) kwa nguvu kupisha uwindaji wa Otterlo Business Corporation OBC Emirat?

Mji wa Moshi wote una wakazi laki mbili fikiria Wamasai laki moja na nusu ni kama ufukuze wakazi karibia wote wa mji wa Moshi, This is insane, hata Wakoloni Wazungu hawakutufanyia hivi, pure evil!

----
Machozi yakifurika kikombe Cha ghadhabu, Alie juu atajibu.
 
Tunaongozwa na psychopath, unahamisha raia 150 000 (laki moja na nusu) kwa nguvu kupisha uwindaji wa Otterlo Business Corporation OBC Emirat?

Mji wa Moshi wote una wakazi laki mbili fikiria Wamasai laki moja na nusu ni kama ufukuze wakazi karibia wote wa mji wa Moshi, This is insane, hata Wakoloni Wazungu hawakutufanyia hivi, pure evil!

----
Hao sio wakazi, hawana makazi ya kudumu, wanazurura tu na mifugo yao.
 
Back
Top Bottom