Alishadhalilishwa hakuwa na ujasiri wowote...alikaguliwa mdomoni na kwenye nywele kama mtoto...ulimwona alivyokuwa amechoka na mchafu....? Hamna ukwel wowote ambao alikuwa nao... He wasnt even a hero.kafa kifala sana...kwa kunyongwa.... Helplessly.
Andiko lako laonesha unawapenda waarabu hadi unatamani uanze kulia. Hongera sana!Vita ni vita tu mura. Ulitegemea awe msafi kama Bush wakati yeye yuko uwanja wa mapambano?
Nasikia alisema mahakamani kuwa yeye ni rais halal wa Iraq. Na kwamba walikuwa wanafanya makosa kumhandle namna ile. Huo sio ujasiri? Ungekuwa wew mkuu si ungeanza kutubu hata makosa ambayo hujawahi kufanya?
Sadam hakuwah kuwasujudia au kuwaogopa wazungu au wayahud. Maisha yalikuwa bora Iraq kuliko sasa. Alipenda watu wake na alikuwa jasiri. Mafuta yalileta neema Iraq. Ilikaribia kuwa kama Libya ya gadaf
Waarabu wanajiamini na kujipenda na kupendana kuliko sie weusi. Rais au bosi mweusi anajisikia faraja zaid na salama zaid akila au akiwa karibu na mzungu au mwarabu. Si ajabu wanatuita ma shithole!
Hii miaka kadhaa ya kututawala na hizi dini zao hakika havijatuacha salama
Mkwawa naskia wakoloni walimnyonga wakatengeneza"Murder looks like suicide"hawa wazungu hawajaanza hila leo.Sioni ujasiri wowote hapo... Ukishawekewa kitanzi ukajua hakuna kubatilisha... Unaweza sema lolote... So hamna ujasiri wowote hapo. Tena unaweza hata watukana... Angekuwa shujaa asingekamatwa kwenye shimo kama panya mtu aliyekuwa na walinzi n.k ningekuwa mimi ngeji shoot kuliko kudhalilishwa kama saddam.shujaa alikuwa mkwawa ambaye hakutaka hata wamkamate...
Unasikia? Unasikia kutoka kwa nani? Acha kuandika masadikisho!Mkwawa naskia wakoloni walimnyonga wakatengeneza"Murder looks like suicide"hawa wazungu hawajaanza hila leo.
Angejishoot marekani wangesema wamemuua wao, kama walivyotudanganya kwa yuleSioni ujasiri wowote hapo... Ukishawekewa kitanzi ukajua hakuna kubatilisha... Unaweza sema lolote... So hamna ujasiri wowote hapo. Tena unaweza hata watukana... Angekuwa shujaa asingekamatwa kwenye shimo kama panya mtu aliyekuwa na walinzi n.k ningekuwa mimi ngeji shoot kuliko kudhalilishwa kama saddam.shujaa alikuwa mkwawa ambaye hakutaka hata wamkamate...
Kwa maandishi haya inaonekana huamini hata kuwa "Usama midevu" alikufa!Angejishoot marekani wangesema wamemuua wao, kama walivyotudanganya kwa yule
Unajua ukifa kwa kudharilishwa unawatia woga vizazi na vizazi vyako bora kufa kama shujaa mkwawaShujaa unajishoot unaogopa kitanzi kifo cha slow motion? Ndio unajiona shujaa? π π au pussy tu?
Shujaa anaogopa kudhalilishwa?
Mkwawa naskia wakoloni walimnyonga wakatengeneza"Murder looks like suicide"hawa wazungu hawajaanza hila leo.
Just to update you, there is no doubt Saddam alikuwa Dikteta, na alikuwa sio a strong believer of religion, Baathist wanakaribiana na communist, nimefanya kazi Saudi, Kuwait na Abu Dhabi, i had done across many Iraqi Arabs, even those against Saddam where United as one and without religious affiliations. Iraqi people are the most nationalistic people in the Arab world and religion didn't play a big role. Infact part from the Tikriti Sunnis who were favored but Sunnis or Shia who were against his regime were treated the same.
Saddam did commit atrocities on the kurds. To correct you today there are more than 6 shiite groups,3 kurds and similarly divided sunnis and all don't see eye to eye. Kwa hivyo wote need a uniting force or iraq will be divided very soon
Andiko lako laonesha unawapenda waarabu hadi unatamani uanze kulia. Hongera sana!
Unasikia? Unasikia kutoka kwa nani? Acha kuandika masadikisho!
Mkwawa fala tu, yeye ameewachia wenzake roho Ya kujinyonga.Sioni ujasiri wowote hapo... Ukishawekewa kitanzi ukajua hakuna kubatilisha... Unaweza sema lolote... So hamna ujasiri wowote hapo. Tena unaweza hata watukana... Angekuwa shujaa asingekamatwa kwenye shimo kama panya mtu aliyekuwa na walinzi n.k ningekuwa mimi ngeji shoot kuliko kudhalilishwa kama saddam.shujaa alikuwa mkwawa ambaye hakutaka hata wamkamate...
Hivi unakijua ulichoandika? Inahitajika rehab kwenye bongo yako.
Kwa akili yako ya kuzaliwa unaamini nani alikuwa kidume kati ya mkwawa na Saadam? Saadam alikuwa ni kidume unataka ajilipwe ili weje? Imani yake haimruhusu kujiuwa. Upo hapo?
Acha nikukumbushe kidogo saadam nayemzungumzia ni yule wa IRAQ na sio wa KUWAIT mkuu. Usije ukadhania namkusudia Saadam wa KUWAIT.
Hivi kwa umri wako umenyoa makwapa mara ngapi?Kumbe wewe unawachukia waarabu, unawapenda wazungu sio? ππππ ndio maana mazungu yanatuita manyani/ Sokwe...ukiambiwa hivyo unapenda sio?? Inauma sana
Hivi kwa umri wako umenyoa makwapa mara ngapi?
Andiko lako laonesha unawapenda waarabu hadi unatamani uanze kulia. Hongera sana!
Jifunze kuwa "specific and to the point "!Unazungukazunguka kama unapika biringanya? Unaulizwa swali dogo, weye unanitungia kitabu?Maneno yapi hapo yanaonyesha nawapenda Waarabu?
Najaribu kusema ukweli kwa kadri nielewavyo, full stop
Nathamini weus wangu. Hao Waarabu au wazungu naona ni binadam wenzetu tuliotokea kukaa nao hapa dunian. Sisi na wao wote tuko sawa. Tunatofautiana katika rangi, lakini,na vitu vingine kama imani
Unaonekana unawapenda wazungu kindakindaki, na utakuwa mkristo wew inavyoonekana. Na hili si kosa lako. Haya mambo yalianza zamani. Ukikutana na mweusi mwenzako asiye mkristo utakuwa una fikia hata kumhujumu, kisa sio mkristo. Utamkaribisha na kumhudumia vizuri mzungu. Lakin utamnyanyapaa mweusi mwenzako kisa imani yake. Ni kama mwislam mweusi anavyoweza kumuona mweusi asiye mwislam kama kitu kilichopotea.
Huu ukristo na uislam tuliletewa na wazungu na Waarabu. Kabla hawajaleta hizi dini tulikuwa na dini zetu. Walipofika kwa ushawishi na kwa nguvu mara nyingine, walitubadilisha dini zetu. Wakawa wanasema zile ni za kishenzi, sio dini na nk. Babu na bibi zetu walilishwa kasumba hiyo kwa miaka mingi mpaka ikazoeleka. Uongo ukirudiwa rudiwa unakuwa ukweli.
Maeneo makubwa afrika yaliyo kaliwa muda mrefu na wazungu ndo kuna wakristo weng. Na kulikokaliwa muda mrefu na Waarabu ndo kuna waislamu wengi. Kama wew ni mkristo usiwachukie Waarabu na waislamu weusi kwa maana saa hizi wew ungekuwa mwislam kama Waarabu wangekuwa wamepata kutuama Maeneo utokako kwa miaka mingi. Na hata kwa mwislam ndo hivyo hivyo usiwachukie wazungu au wakristo weusi Kwasababu wew sio mkristo sana sana ni Kwasababu maeneo utokako wazungu hawa kuweka makazi kwa kipindi kirefu
Hii imetugawanya mazima katika makundi mawili Makubwa. Kabla ya hapo naona vilikuwa vikundi vya kikabila au kieneo na namna yao ya kusali.
Kwa kiasi kikubwa Wachina na wajapan wana dini zao, yaani sio wakristo na si waislamu na wazungu na Waarabu wanaishi nao poa tu. Muulize mzungu, je, kati ya Mchina au mjapan asiye mkristo na mweusi mkristo yupi wa maana? Atakujibu kuwa ni Mchina au mjapan na 'upagani' wake. Hivyo hivyo kwa mwarabu
Kuwa mkristo au mwislam au kuwashobokea wazungu au waislamu hakukufanyi wa maana. Zaid zaid inatudhalilisha na kutufanya tunyonyeke zaidi..
Mpaka hapo tutakapo jifunza kuwa hapa duniani kila mtu na lwake ndio tutaheshimika