Habari yako mkuu? Tatizo ni hii lugha iliyotumika au? Mbona hakuna hicho ilichokiandika.Katika hali isiyokuwa yakawaida inayonekana kuwa ngumu kwa Trump, Rais wa Marekani D.Trump amemtafuta Rafiki yake KimJong Kim, mchezaji wa zamani wa Chicago Bulls, Dennis Rodman aende Korea Kaskazini aongee naye kuhusu mzozo uliopo! hii ni baada yakuona hakuna mtu mwingine wakuongea naye mapank.
Na alipotua huko Pyongyang wamarekani wanne wakaachiwa ila kama anaweza kumshawishi dogo kubadili msimamo.
Dennis Rodman hopes to do 'something pretty positive' in North Korea - CNNPolitics.com
Good observation! ..............wamuangukia Rodman......?Mleta Uzi hiyo heading yako na stori yenyewe sasa..duh!
Good observation! ..............wamuangukia Rodman......?
Kim hana rafiki wala adui ila ukiyakanyaga tu ujue tayari ushakua msosi wa mbwa na hao mbwa hatari sanaaa hata uwachinjie nyati hawataki yakheee wataka mtu tu dadeq
Washawahi kukutana kabla ni msela wake huyoKim hana rafiki wala adui ila ukiyakanyaga tu ujue tayari ushakua msosi wa mbwa na hao mbwa hatari sanaaa hata uwachinjie nyati hawataki yakheee wataka mtu tu dadeq