"Wamama wanyoa panki wa Sinza"

Zee Korofi

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2021
Posts
1,604
Reaction score
1,440
Hivi hii code inamaanisha nini? Niliwahi kuwakuta jamaa fulani wanazungumza maongezi yaliyoonekana nyeti mno kwa lugha ya kiingereza.

Nilichoambulia ni hiyo code kwa sababu walikuwa wakitamka kwa kiswahili.

Hii code ina maana gani?
 
Wenywe nywele za chege nao unawaweka kundi gani.

Mimi naona kila mtu anaishi kwa jinsi anavomudu au muonekano wake.

Sasa mfano kama kajala hivi hakisuka si unaweza kuanzisha uzi hapa.
 
Kikubwa ni hii code, "wamama wanyoa panki wa Sinza".
Ni style flani hivi ya unyoaji ipo sana mkoa wa Kagera hasa Ngara na Bukoba.
Rwanda,Burundi pia wanawake wananyoa sana mapanki ya aina iyo.

Aimaanishi kila mmama wa Sinza akinyoa hivyo basi ni"cord"wengine ni style tu kaamua anyoe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…