Mnataka nini zaidi?Hatutaki! Kwani lazima mkuu??!
Sio wamama tu, hadi wababa na wakaka fulani.Jamani nyie wamama itikieni salamu inavyostahili. Ni hv hapa ofisini kuna staff wamama baadhi sio wote ukiwasalimia shikamoo badala ya kuitikia marahaba unakuta anaitika nzuri /salama as if umemwambia habari yako aise kuna yeyote anakutana na hali hii na unadhani ni kwanini
na nyie wababa muache kutuambia mambo? unaambiwa shikamoo mzee unajifanya huelewi wala huskii upo busy mambo vipi? mabo gani hayo unaulizia mzee mzima?
Kwani ww ni binti au mmama?......na nyie wababa muache kutuambia mambo? unaambiwa shikamoo mzee unajifanya huelewi wala huskii upo busy mambo vipi? mabo gani hayo unaulizia mzee mzima?
mamaKwani ww ni binti au mmama?......
Shikamoo.mama
Kuamkiwa ndo mwanzo wa kunyimwa tamu.na nyie wababa muache kutuambia mambo? unaambiwa shikamoo mzee unajifanya huelewi wala huskii upo busy mambo vipi? mabo gani hayo unaulizia mzee mzima?
Kwa taarifa tuu ni kwamba mwanaume atabaki kuwa mwanaume mpaka siku anaingia kabirini,mwanamke dhaman yake ushuka akifikia umri flani tofaut na mwanaume.bila shaka umenielewa bibiena nyie wababa muache kutuambia mambo? unaambiwa shikamoo mzee unajifanya huelewi wala huskii upo busy mambo vipi? mabo gani hayo unaulizia mzee mzima?