Sasa anataka wakaeje kwa watu? Wasifajye kazi? Mpumbavu huyo! Dada lako litakuwa li malaya! Siku hizi nimemwelewa.my wife mke wangu, hataki tena kukaa na mtoto wa mtu kama wazazi wapo!
Mama aachiwe watoto wake awalee mwenyewe, wakifeli mzigo utakuwa wake mwenyewe, ilitakiwa wamsapot matumizi tu, watoto wawili ndio wakugawa huyu akae kule na huyu akae huku, halafu mama yao awe anafanya nini?