Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,913
- 67,418
Anatumia hela hajui ata daftar la mtoto linauzwa bei gani na hajawai kuwa na stress za January hanaMama aachiwe watoto wake awalee mwenyewe, wakifeli mzigo utakuwa wake mwenyewe, ilitakiwa wamsapot matumizi tu, watoto wawili ndio wakugawa huyu akae kule na huyu akae huku, halafu mama yao awe anafanya nini?
sawa alitakiwa akae na watoto wake, ili hao baba mkubwa na baba mdogo wasupport elimu ya hao machalii huku wakiwa kwa mama yaoAnatumia hela hajui ata daftar la mtoto linauzwa bei gani na hajawai kuwa na stress za January hana
wangemuachia wote, watoto wawili ndio wamshinde? wangesupport tu akiwa anaishi na watoto wake, hakuna mwanamke watoto wake wataelelewa na mwingine wabaki na aman na rahaMhhh
Kwanini waliwachukua wote?.angebakiziwa hata mmoja
waliona ni wadogo wakasema hawez wasomesha lakin ukimwambia mwanao anataka sale ya shule ana nunaMhhh
Kwanini waliwachukua wote?.angebakiziwa hata mmoja mmefanya arelax akae kwa kujiachia akishiba tuu anatoa lawama...hana cha kufanya
Alikataa matokeo yake ni mabaya kuna mda mm naona ata bora watoto waliwachukua maana mama akawa anabadirisha wanaume kila siku mtoto anatambukishwa baba mpyasawa alitakiwa akae na watoto wake, ili hao baba mkubwa na baba mdogo wasupport elimu ya hao machalii huku wakiwa kwa mama yao
Basi dada yako aliona amepata uhuru, ndoa ilikuwa inambana, hakuna mwanamke angekubali watoto wake wachukuliwe ambao ndio wanakuwa wamebaki faraja yakeAlikataa matokeo yake ni mabaya kuna mda mm naona ata bora watoto waliwachukua maana mama akawa anabadirisha wanaume kila siku mtoto anatambukishwa baba mpya
Tisa yote hataki kukaa na wanawewangemuachia wote, watoto wawili ndio wamshinde? wangesupport tu akiwa anaishi na watoto wake, hakuna mwanamke watoto wake wataelelewa na mwingine wabaki na aman na raha
Dada yako anahitaji ushauri nasaha.Bado hajakubaliana na hali ya kuondokewa na mumewe.Halafu ni mapenzi tu kwa watoto wake.Mumtie moyo.Ipo hivi nina dada yangu ambaye ni mjane mumewe alikufaga 2010 akamuachia watoto wawili wadogo sasa hawa watoto kwao waligawana kumsaidia mama kulea watoto mmoja alimchukua shemeji yake mdogo mwingine akachukuliwa na shemeji yake mkubwa huyu mmoja anaitwa E ndio mkubwa na wa pili J
Sasa huyu J alikuwa anakaa na baba yake mkubwa mbagala hapo kaka mda mrefu mpaka kafika form two mama ake ndio anaaza kusema nataka mtoto nikae nae mwenyewe kule mtoto ananl nyanyasika wanamtuma sana wakat watoto wai pia wapo
Mm nikamuuliza maswali madogo tu kule anako kaa si ndio kwao? Kwhy ata kama wanamnyanya wanamnyanya damu yao yule kabeba jina lao la ukoo sio la kwetu af pia mtoto kukonda ni kutokana na ukuaji muache mtoto asome amalize
Hakusikia akamlagai mama yule mtoto wakamwamisha shule toka dar kwenda mkoani kule alikokuwa anasoma mwanzo alikua anafanya vzr ila tangu ameenda kwa bibi yake jaman anafanya vibaya na mama angu yupo bise sana hana mda wakumfwatilia mtoto kabisa
Sasa juzi anasema yule J ananyanyaswa yaani mama ana mnyanyasa mtoto kisa hana baba chanzo ilikuwa ni kumwambia kuwa kama husomi matokeo yakiendelea hivi hivi unarudi kwenu kule sitaki upumbav mtoto kamwambia mama yake mama yake kaja juu mwanangu mnanyanyasa
Mimi nikatoa kauli hii moja tu huyo mtoto arudi akakae alikokuwa anakaa mwanzo au akakae na mama yake mwenyewe kelel zipungue kabisa
Mtu anasaidiwa lakini hasaidiki wanawake mnalea watoto vibaya
Ngumu kumezaNdo malezi na ukubwa huo
Mh ni mda mrefu sana nguo za mumewe alichoma moto kila kitu cha mumewe alichoma mpka vyetiDada yako anahitaji ushauri nasaha.Bado hajakubaliana na hali ya kuondokewa na mumewe.Halafu ni mapenzi tu kwa watoto wake.Mumtie moyo.
Ukaribu kiroho na walivyoishi hawezi kuchoma moto.Mh ni mda mrefu sana nguo za mumewe alichoma moto kila kitu cha mumewe alichoma mpka vyeti
Amechangia niache story yake alipoandika alikuwaga, mara badirikeni. Hata sijui ndiyo nini.Kwani unakimbizwa? Tulia halafu uandike upya
Ili waendelee kuwa wajinga jinga kama mama yao?sawa alitakiwa akae na watoto wake, ili hao baba mkubwa na baba mdogo wasupport elimu ya hao machalii huku wakiwa kwa mama yao
Mtu anasaidiwa lakini hasaidiki wanawake mnalea watoto vibaya