Wamalawi Waliowasumbua Watanzania

Wamalawi Waliowasumbua Watanzania

Lakini huyu mama eventualy kuna watu mgongoni mwake...yeye ni balozi tu...time will tell
 
Mkuu sana Gang Chomba, ukweli daima ni kama moto ambao huwezi kuuficha kwenye majani makavu! Bi Joyce ni mtawala aliyepitia mlango wa uani kuingia ikulu vije leo aone ambayo hawakuona wenzie waliopitia main doors? Thereinafter mvutano huu diplomatically unamweka wapi,kwanini anasahau tuna Wanyasa wengi tu ambao tumeshajijengea udugu wa mda mrefu? Kuna wish hapa,Ziwa limekua chambo tu
 
Umesomeka mkuu...
Lakini hebu fafanua alipitia uwani kivipi?
 
Back
Top Bottom