Ntambaswala
JF-Expert Member
- Dec 7, 2008
- 255
- 78
Nilifikiri unawazungumzia wamalawi waliotapakaa wakifanya kazi za u hausboi, upishi na gardeners hasa kwa ma tx...na sifa yao kubwa ni kuongea kiingereza kizuri. usafi na uaminifu japo uaminifu kwa sasa unapotea polepole kama ilivyo wa walinzi wa kimaasai.
But do they also write it like this?...zei spik gud inglish...
But do they also write it like this?
mmeanza ubaguzi?ukirudi nyuma zaidi hata wewe waweza jikuta tanzania umehamia tu,ukiambiwa marehemu karume alitoka burundi au rwanda utaamini?Kuna rafiki yangu mmoja Mmalawi anafundisha chuo kikuu kimoja hapa Dar aliwahi kunieleza kuwa kwa viwango vya wanafunzi wa bongo anawaofundisha (chuoni) wengi wao wana viwango sawa na watoto wa shule za upili( sekondari) za kwao. Nilibisha sana, basi akaniamwambia wamalawi eti ni vichwa sana akanipa mifano kadhaa ya wamalawi waliopo hapa TZ ambao ni vichwa(na kweli hao watu ni vichwa sana). Aliowataja ni hawa hapa sasa sijua kama ni kweli
1. Profesa Mathew Luhanga
2. Profesa Nkoma wa TCRA
3. Profesa Msambichaka (wote wawili)
4. Marehemu Austin Shaba
5. Maremu Kambona
6. Marehemu Nyirenda wa Uhuru Torch Kilimanjaro
7. Kasesera wa mpira wa kikapu
8. Msowayas
9.Kasambalas
10. Chiume
11. Lifa Chipaka
12.
mmeanza ubaguzi?ukirudi nyuma zaidi hata wewe waweza jikuta tanzania umehamia tu,ukiambiwa marehemu karume alitoka burundi au rwanda utaamini?
Actually Karume alitoka Malawi, kuna watu wanasema familia ya Nyerere ndiyo ilitoka Rwanda-Urundi.
Ukirudi nyuma kabisa wabantu wote wametoka mitaa ya Nigeria Kaskazini kwenye nyanda za Jos, kwa hiyo wabantu wote warudi huko?

Sheikh Abeid Karume was apparently the son of a slave woman from Ruanda-Urundi who moved to Zanzibar when the boy was young. He had little formal education, in 1920 becoming a seaman working cargo boats out of the island. He ultimately rose to quartermaster. A member of the British Seamen's Union, after 1938 he operated a syndicate of motorboats carrying passengers to and from harbor ships.
hiyo kipande tu ya history yake.
Vita ya kwanza ya dunia 1914-1918, vita ya pili 1939-1945...just kuweka rekodi sahihi.Karume alikuwa na baba na mama. Kama mama yake alitoka Ruanda-Urundi basi baba yake alitoka Malawi au vice versa. Hivyo asili zote mbili anazo.
Pili mpaka 1918, kabla ya kwisha kwa vita vya pili vya dunia, Ruanda-Urundi ilikuwa ni sehemu ya Ujerumani ya Afrika mashariki. Hivyo wazazi wa Karume walishakuwa Zanzibar kabla mipaka kugawanywa.
Makabila mengi yaliopo Malawi yana watu waliopo Tanzania, Zambia, Zimbabwe na Msumbiji. Hivyo sio haki kuwaita waMalawi waliopo Tanzania, wakati makabila yalikuwepo kabla Malawi au Tanzania haijaanza.
ina maana wamechukua kazi za Wanyalukolo.....a.k.a Wanyalu?Wamalawi waliopo hapa Dar ni wachapakazi wazuri wa kazi za ndani.
Vita ya kwanza ya dunia 1914-1918, vita ya pili 1939-1945...just kuweka rekodi sahihi.
Sheikh Abeid Karume was apparently the son of a slave woman from Ruanda-Urundi who moved to Zanzibar when the boy was young. He had little formal education, in 1920 becoming a seaman working cargo boats out of the island. He ultimately rose to quartermaster. A member of the British Seamen's Union, after 1938 he operated a syndicate of motorboats carrying passengers to and from harbor ships.
hiyo kipande tu ya history yake.
ina maana wamechukua kazi za Wanyalukolo.....a.k.a Wanyalu?
Actually Karume alitoka Malawi, kuna watu wanasema familia ya Nyerere ndiyo ilitoka Rwanda-Urundi.
I don't give a sh**^^&&% we are all african and I'm proud to be african .....I mean Black african.You must be very good with Malawi history... obviously!!! BTW, Madonna anaongeza ka-baby kengine ati???