UmkhontoweSizwe
Platinum Member
- Dec 19, 2008
- 10,047
- 9,346
Na hizo ndonya expalanation yake ni ipi?
Tattoo started from them! Leo hii Mike Tyson akiweka tattoo wanadai anapendeza wakati ameiga
Hawa ni wamawia wanapatikana Msumbiji(mpakani na Tanzania), wana undugu na wamakonde. Huwezi kukuta mmakonde kajichora namna hiyo!
jamani nini hiki au ni kile kipindi cha mababu zetu???
Hawa ni wamawia wanapatikana Msumbiji(mpakani na Tanzania), wana undugu na wamakonde. Huwezi kukuta mmakonde kajichora namna hiyo!
Ni wa Msumbiji, Tanzania hakuna wamakonde wanaochanja namna hiisasa hawa ni watu wa mkowa Gani hasa?....