Wamakonde na misemo yao

nginda

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2010
Posts
744
Reaction score
82
Jamaa anamuuliza binti wa kimakonde, ati, kwa nini wamakonde hawawezi kusema Mtu na badala yake wanasema Ntu?

Binti wa kichinga ( iiiiiiiiih siiyo woote. Unajua kusema ntu, inategemea ntu na nnntu!)
 
Jamaa anamuuliza binti wa kimakonde, ati, kwa nini wamakonde hawawezi kusema Mtu na badala yake wanasema Ntu?

Binti wa kichinga ( iiiiiiiiih siiyo woote. Unajua kusema ntu, inategemea ntu na nnntu!)
Yani hapo kaonyesha msisitizo zaidi....
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…