Nakumbuka wakat wa kampeni za uchaguz mkuu wa 2015 siku ya mwisho ya kufunga kampeni pale jangwani wakati huo EDWARD LOWASA NDIO MGOMBEA WA CHADEMA
alitokea bubu mmoja akatugawia karanga watu wote wa eneo langu baadae akaanza kudai hela kwa kila mmoja Tena kwa nguvu ila tulifanikiwa kumdhibiti na kichapo akapewa
Mjini hakuna Cha bure
Sent from my TECNO F1 using
JamiiForums mobile app