Wamachinga wasababisha sintofahamu jijini mwanza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wamachinga wasababisha sintofahamu jijini mwanza

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by samirnasri, Jan 29, 2011.

 1. samirnasri

  samirnasri JF-Expert Member

  #1
  Jan 29, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 1,377
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Kuna taarifa kua wamachinga jijini mwanza wamegoma kugama katikati ya jiji la mwanza ni hivi sasa polisi wana randaranda jijini humo tayari kwa kuwaondoa kwa nguvu endapo wataendelea kugoma kuondoka kwa hiari yao. Inasemekana tayari wafanya biashara wengine wamefunga maduka yao kukwepa vurugu ambazo zinaweza kutokea. Mwenye habari zaid kutoka mwanza atujuze chanzo: mkazi mmoja wa mwanza..
   
 2. BRUCE LEE

  BRUCE LEE JF-Expert Member

  #2
  Jan 29, 2011
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 2,089
  Likes Received: 1,158
  Trophy Points: 280
  patam hapo, watu wanataka haki zao halafu unawaletea fyokofyoko?
   
Loading...