Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,903
Hali sio nzuri kabisa katika maeneo ya Kariakoo hasa mtaa wa Kongo na Agrey wamachinga wachoma matairi na kusababisha hali ya taharuki katika maeneo hayo.
Hali hii imetokea baada ya polisi wa jiji kuwazuia wamachinga kufanya biashara katika maeneo hayo na kupelekea baadhi ya wamachinga kukamatwa na wengine kunyang'anywa malizao ndipo wakaamua kuchoma matairi na kufanya vurungu hizo.