TAJIRI MKUU WA MATAJIRI
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 11,014
- 22,138
Kuna nabii anatembelea HELKOPTA waumini wanadandia DALADALAUkristò ni dini ya watu wasomi, wagunduzi, wana sayansi, matabibu, wana anga za juu nk.
Sasa siku za karibuni limeibuka kundi la watu wasiofikiria, wasio hoji, wenye ufinyu wa fikra, wenye kupelekeshwa kibwege kabisa na wahuni wanaojiita mitume na manabii...
Mzinzi tu huyu jamaa. Dini is scam but God is real
🤣Mzinzi tu huyu jamaa. Dini is scam but God is real
Huyu ndio baba wa uongo 666, Mpinga Kristo
Hapa tu ndio huwa nachokaKuna nabii anatembelea HELKOPTA waumini wanadandia DALADALA
Dini zote ni cults. Kuna tofauti gani kati ya cult na dini?Ulokole ni cult sio dini na imetokana na unrealistic belifs za dini ya Ukristo.
Siku hizi ndo wanaongoza kuvunja na kuchoma moto minara ya 5G wakiamini ndo inaleta Covid 19Ukristò ni dini ya watu wasomi, wagunduzi, wana sayansi, matabibu, wana anga za juu nk.
🤣Huyu ndio baba wa uongo 666, Mpinga Kristo
Mwingine anawaambia waumini wajipukutishe hela zote walizonazo wampe nabii.Hapa tu ndio huwa nachoka
...Wananenepa = Wananenepeana ! [emoji35]...Ukristò ni dini ya watu wasomi, wagunduzi, wana sayansi, matabibu, wana anga za juu nk.
Sasa siku za karibuni limeibuka kundi la watu wasiofikiria, wasio hoji, wenye ufinyu wa fikra, wenye kupelekeshwa kibwege kabisa na wahuni wanaojiita mitume na manabii.
Nabii akisema leo kamnyime mumeo unyumba, basi nyumbani siku hiyo mtalala mzungu wa nne.
Nabii akisema kalete mbegu, basi humo ndani hakukaliki lazima mbegu nono ipelekwe kwa nabii.
Walokole wanakonda manabii wananenepa. Kila siku ufukara unawaingia kwa kasi. Wanaangamizwa kwa kukosa maarifa.
Walokole mnatakiwa mbatizwe kwa ubatizo wa moto wa gesi huenda ndipo akili zenu zitafunguka na kuijua kweli ambayo ni neno la Mungu.
Wanakuwa kama litutumbwe...Wananenepa = Wananenepeana ! [emoji35]...