Wallah!! Siitaki tena CCM

Aisee umenifurahisha sana. Katika michango yako yote hamna hata moja uliyowahi kujionesha kuwa wewe ni mwanachama ya ccm. Michango yako yote ilikuwa ni kwa chadema ila leo umejifanya mwana-ccm muasi. Be serious au ndo uhamasishaji? Wadau hebu angalieni michango ya huyu mh. siku za nyuma. msishabikie tu hata uongo.
 
umefulia mpaka mawazo,nenda huko kwingine utakumbuka ccm kwa madudu utakayoyakuta huko,unaisikia tu ccm lkn huijuwi ingawa unasema umewah kuwa mwanachama
 
NDiooooooooooooooo ni sawaaaaaaaa uamuzi wa busari ni haki yako ya kikatiba
 
Uamuzi wa busara sana kijan, dada, babu. Njoo tupiganie haki zetu huku.
 

KAUMZA namfahamu sana, tulipambana vilivyo last october alikuwa ni mmoja kati ya mastriker waliokuwa wakiichachafya sana ngome ya cdm. Ni pigo kwa magamba JF wkt huo nikitumia id fulani
 
hongera mkuu ,hapo ni kama umevuka mto yordani karibu sana nchi ya ahadi CDM
 
Mtoto akikunyea huukati mkono! Unanawa.
 
Kama ni kweli, sawa, lakini uamuzi wake umeufanya kwa kuchelewa sana. Madudu yote ya ccm yamefanywa kwa msaada wako. Vifo vya akina mama wajawazito na watoto wadogo, umesaidia kuvifanikisha. Karibu tupambane, huko joto na inahtaji uvumilivu.
 
CCM ni chama tawala au chama twawala!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…