Ali mayai anahangaika sana na pia analazimisha kuwa kiongozi kwakudanganywa ni mchezaji msomi na elimu yake ya diploma.
Aligombea yanga ujumbe wa kamati ya utendaji akashinda baadae akajiuzulu,
akagombea tena sidhani kama alishinda, juzijuzi kaenguliwa uenyekiti wa Spotanza binafsi naona hana jipya.