Wall Street protest

Nimejikuta naandika thread hii Hivi Kumbe maandamano ya Wall street Yana Mkono wa Marekani "OCCUPY WALLSTREET 99%'' kwa sababu kila evolution dhidi ya ubinadamu wa Wanadamu kutaka kushirikishwa na sio kutumikiswa basi nyuma ya hayo matukio kuna Mkono wa Taifa la Marekani na Marafiki zake kama Uingereza na Ufaransa.

Kinachojili katika dunia hiii ni Mwandamu anataka nafasi yake katika utu [Dignity],yalipoanza mapinduizi ya dola za kiarabu yakiongozwa umma, sisi waafrika tulio wengi tulishinikiza na tunashinikiza kwa kusema kuwa huo ni mkono wa Marekani na Maswaiba wake.Lakini atuangalii UTU ama UBINADAMU wao hao raia wa dola za kiarabu unajengwaje na DOLA hizo na wana nafasi gani katika urithi wa Mali a Taifa lao.

Haya leo hii STYLE ile ile iliyotumiwa na inatotumiwa na Raia wa Nchi za Kiarabu kuziazibu dola zao ndizo hizo hizo zinatumiwa na RAIA wa Marekekani wao wakishinikiza kuziazibu taasisi za kifedha zilizo ndani ya Nchi yao WALL STREET, nategemea tuhuma hizo za Markani kusababisha maasi ya Nchi za Kiarabu pia zitumwe kwa kusababisha maasi yanayokuja ya WALL STREET.

Haya wale Wanaokurupuka kuwatuhumu Marekani na Propaganda za miaka nenda ludi kila kitu ni Mkono wa Marekani hili nalo likoje tusaidieni.
 

hueleweki
 

watu hawajakuelewa, Lakini mimi nimekuelewa sana , taifa hili noma sana, siku zote linawasha moto alafu linakaa pembeni, lazima maandamano yaho yawe na mkono wake. Tujihadhari ukiona mwenzio ananyolewa tia maji, tusije sema tungalijua huku tayari mambo yameharibika.
 
 
Last edited by a moderator:
[TABLE="class: contentpaneopen"]
[TR]
[TD="class: contentheading"]Polisi Marekani wakandamiza waandamanaji, watumia mabomu ya kutoa machozi[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: contentpaneopen"]
[TR]
[TD] Mwamko wa wananchi wa Marekani ulioanza kwa jina la harakati ya "Wall Street" umeingia katika sura mpya baada ya polisi wa nchi hiyo kuweka wazi zaidi dhati yao halisi ya ukandamizaji dhidi ya raia.
Maandamano ya wananchi wa Oakland huko California ya kupinga mfumo wa kibepari nchini Marekani yamekandamizwa na polisi wa nchi hiyo waliotumia mabomu ya kutoa machozi kuwatawanya waandamanaji hao waliokuwa wamepiga kambi katika eneo hilo.
Televisheni ya Euro News imeripoti kuwa mamia ya watu wameandamana huko Oakland kupinga kutiwa mbaroni wenzao walioshiriki kwenye harakati ya kupinga ubepari ya "Wall Street" na taarifa zinasema kwamba ukandamizaji huo wa polisi uliendelea hadi katikati ya usiku.
Watu 85 wameripotiwa kutiwa mbaroni na polisi katika maandamano hayo. Huku hayo yakiripotiwa, msemaji wa Baraza la Uhusiano wa Kiislamu la Marekani amesema kuwa, polisi wa Marekani FBI wanafanya njama za kuwazushia kesi za uongo Waislamu wa nchi hiyo.
Ibrahim Hooper ameiambia televisheni ya Press TV kuwa polisi wa FBI wanazifuata-fuata sana jamii za Waislamu nchini humo bila ya kosa wala dalili zozote za kufanya uhalifu.
Vyombo vya habari vimeripoti kuwa, Waislamu nchini Marekani nao wamejiunga katika harakati ya "Wall Street" ya kupinga mfumo wa kibepari ambapo wanaharakati hao wanasema kuwa, asilimia moja ya Wamarekani inawadhulumu asilimia 99 ya wananchi wa nchi hiyo.

Source:Polisi Marekani wakandamiza waandamanaji, watumia mabomu ya kutoa machozi[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
 
Last edited by a moderator:
 
Last edited by a moderator:
huyo jamaa asiyeeleweka hapo juu,mi nimemwelewa.. Yaani yanapotokea machafuko nchi mbalimbali duniani[Africa na Arabuni] husemwa kuwa Marekani ina mkono wake. Sasa nchi hiyohiyo[Marekani] raia wake wanaandamana na wanapigwa na polisi wao. Sasa je hapo kuna mkono wa nani? kifupi mi sina jibu,maana nahisi halina jibu moja. Waache ma Gr.Thinkers wajue la kuchangia.
 
 
Last edited by a moderator:
 
Last edited by a moderator:
 
Last edited by a moderator:


Play VideoVideo: 'Occupy' Protesters Take Aim at N.Y. Stock Exchangeviews
View Gallery
Occupy Wall street demonstrators protest on the streets of lower Manhattan near t​


NEW YORK (AP) — Thousands of Occupy Wall Street demonstrators took to the streets around the U.S. on Thursday to mark two months since the movement's birth and signal they aren't ready to quit, despite the breakup of many of their encampments by police.
At least 175 people were arrested in New York, many for blocking streets near the New York Stock Exchange. One man was taken into custody for throwing liquid, possibly vinegar, into the faces of several police officers, authorities said. Police in Los Angeles arrested 23 people.
Demonstrations were also planned or under way in such cities as Washington, St. Louis, Las Vegas and Portland, Ore.
Chanting "All day, all week, shut down Wall Street," more than 1,000 demonstrators gathered near the NYSE and staged sit-ins at several

intersections. Helmeted police broke up some of the clusters, but most of the crowd re-assembled in Zuccotti Park, where the encampment that served as the unofficial headquarters of the Occupy movement was broken up by police earlier this week.
"This is a critical moment for the movement given what happened the other night," said Paul Knick, a software engineer from Montclair,

N.J., as he marched through the financial district. "It seems like there's a concerted effort to stop the movement, and I'm here to make sure that doesn't happen."
Organizers in New York said protesters would fan out across Manhattan later in the day and head into the subways, then march over the Brooklyn Bridge.

About 500 sympathizers, many of them union members, marched in downtown Los Angeles between the Bank of America tower and Wells Fargo Plaza, chanting, "Banks got bailed out, we got sold out."
In Albany, N.Y., about 250 protesters from Buffalo, Rochester and other encampments arrived by bus to join a demonstration in a

downtown park. Police in Portland, Ore., closed a bridge in preparation for a march there and later detained more than a dozen people who sat down on the span.
The street demonstrations marked two months since the Occupy movement sprang to life in New York on Sept. 17. They were planned well before police raided a number of encampments over the past few days, but were seen by some activists as a way to demonstrate their resolve in the wake of the crackdown.

Thursday's demonstration around Wall Street failed to disrupt operations at the stock exchange but brought taxis and delivery trucks to a halt. Police allowed Wall Street workers through the barricades, but only after checking their IDs.

The demonstrators included the actor and director Andre Gregory, who said he hoped the movement would lead to national action on economic injustice.
"It's a possible beginning of something positive," he said.
Police said four officers went to a hospital after a demonstrator threw some kind of liquid in their faces. Many demonstrators were carrying vinegar as an antidote for pepper spray.

Some onlookers applauded the demonstrators from open windows. Others yelled, "Get a job!"
"I don't understand their logic," said Adam Lieberman, as he struggled to navigate police barricades on his way to work at JPMorgan Chase. "When you go into business, you go into business to make as much money as you can. And that's what banks do. They're trying to make a profit."

Gene Williams, a bond trader, joked that he was "one of the bad guys" but said he empathized with the demonstrators: "The fact of the matter is, there is a schism between the rich and the poor, and it's getting wider."

The confrontations followed early-morning arrests in other cities. In Dallas, police evicted dozens of protesters near City Hall, citing health and safety reasons. Eighteen protesters were arrested. Two demonstrators were arrested and about 20 tents removed at the University of California, Berkeley.
City officials and demonstrators were trying to decide what to do about an encampment in Philadelphia, where about 100 protesters were ordered on Wednesday to clear out immediately to make way for a long-planned $50 million plaza renovation at City Hall.

Source:
Occupy protesters march nationwide; many arrested - Yahoo! News



 
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…