Gamba la Nyoka
JF-Expert Member
- May 1, 2007
- 7,038
- 9,352
Kuna mambo media za magharibi zinaficha, lakini hili wanalionyesha, mapema leo
nimeona habari hizi kwenye bbc world news. Na hata hapo ulipo ukifungua web yao habari hizi zimo tena kwa kirefu. Kwa nini tunajenga tabia ya kuwazushia watu tusiowapenda/tusiokubaliana nao????

Mkuu kumbe ulishaanzisha hii?Naona Mr Toyo anatabiri revolution.
Sasa tusubiri na hii, tuone BBC watali-spin vipi!
Anti-War MASS ASSEMBLY10 Years On
Occupy Trafalgar Square London Saturday 8 October 2011
Chesterfield & North Derbyshire Stop The War Coalition: September 2011
Muda si mrefu wanasiasa wataanza kudandia.This time wananchi naona wameamua hata media wameshindwa kuwa ingnore.Wanasiasa watajiingiza tu kwa ile style ya if you cant beat them...However ni lazima kuwepo na mabadiliko.
Sio US pekee..maisha yanazidi kuwa magumu Greece, Ireland, UK, France, Spain.... kwa ufupi kila sehemu, maisha yanauma...lakini US na West siku zote wana hela za kuanzisha vita katika sehemu mbali mbali duniani. Hela zinakwenda kwenye "military industrial complex". Huu ni ushirika wa Inter. Bankers, military, weapon industries in collaboration with corrupt ruling elites.Maisha USA yanazidi kuwa magumu