mjasiliaupeo
JF-Expert Member
- Apr 21, 2013
- 2,162
- 3,086
JINSI YA KUPAKA
Wall stencil ni kupaka rangi kwa kutumia patterns ambazo zinachongwa kwa utaalamu kwa kufuata umbo ambalo linafanana na wallpapers.
Tofauti na wallpapers, wall stencils hudumu zaidi, inaweza kudumu zaidi ya miaka hata kumi kama ukuta wako upo imara. Pia kwa kutumia rangi za kisasa unaweza kuosha kwa maji na sabuni endapo ukuta utachafuliwa.
Tutakufanyia huduma hii kwa gharama nafuu tu ya tsh 8000/= kwa square metre kwa kazi ya kuanzia square metre 40. Au kwa 130,000/= ikiwa ni upande mmoja wa ukuta mf; Tv wall.
Tuna aina tofauti za patterns zaidi ya 100+ piga au tuma ujumbe kupitia
0713553387. au sajophin@gmail.com
Nb; picha zote unazoziona ni rangi sio wallpapers