H hadija1 Member Joined Oct 18, 2012 Posts 14 Reaction score 6 Oct 18, 2012 #121 Sijui kwa nini walikukosa.Hawa nao hata shabaha hawana.Shenzi zao polisi wakosa shabaha
Barubaru JF-Expert Member Joined Apr 6, 2009 Posts 7,161 Reaction score 2,325 Oct 18, 2012 #122 Mie wasi wasi wangu unazidi kipimo kwani Soon mtasikia mauaji ya vikongwe na kukata viungo huko Znz. Kwani huo ni mwanzo tu kutoka Tanganyika. Nia yao na kuhakikisha Znz si salama. WaZnz zindukeni na muone faida za Muungano wenu huo.
Mie wasi wasi wangu unazidi kipimo kwani Soon mtasikia mauaji ya vikongwe na kukata viungo huko Znz. Kwani huo ni mwanzo tu kutoka Tanganyika. Nia yao na kuhakikisha Znz si salama. WaZnz zindukeni na muone faida za Muungano wenu huo.
Mjamii JF-Expert Member Joined May 27, 2009 Posts 1,027 Reaction score 314 Oct 18, 2012 #123 Lazima afe hawezi kuchafua nchi kwa kuleta ubaguzi wa kidini let him say his last prayer
N NDETIKIRO Member Joined Oct 16, 2012 Posts 22 Reaction score 4 Oct 18, 2012 #124 huyu anajitabiria kifo chake. shehe gani mwongo? yani shule mmeshindwa hata kupesti uwongo wenu mnashindwa? risasi haiwezi ikatoa matundu yanayofanaana kabisa.
huyu anajitabiria kifo chake. shehe gani mwongo? yani shule mmeshindwa hata kupesti uwongo wenu mnashindwa? risasi haiwezi ikatoa matundu yanayofanaana kabisa.
Lighondi JF-Expert Member Joined Aug 21, 2008 Posts 581 Reaction score 184 Oct 18, 2012 #125 Honolulu said: Angalia walikoitoa hiyo picha. Yaani huyu naye ni Sheikh kweli? http://img.auctiva.com/imgdata/1/4/7/1/6/7/6/webimg/446309610_o.jpg kama haifunguki copy yote halafu u paste kwenye google.. au gonga hapa: Fake Bullet Holes And Damage Stickers Make The Perfect Illusion ... Click to expand... Dah! we ni noma!! Haya walete singo nyingine hii imeshachuja kabla hata ya kuingiza sokoni. Haina maana hata ya kuijumuisha kwenye albamu
Honolulu said: Angalia walikoitoa hiyo picha. Yaani huyu naye ni Sheikh kweli? http://img.auctiva.com/imgdata/1/4/7/1/6/7/6/webimg/446309610_o.jpg kama haifunguki copy yote halafu u paste kwenye google.. au gonga hapa: Fake Bullet Holes And Damage Stickers Make The Perfect Illusion ... Click to expand... Dah! we ni noma!! Haya walete singo nyingine hii imeshachuja kabla hata ya kuingiza sokoni. Haina maana hata ya kuijumuisha kwenye albamu