Walishatumia kila aina ya vitisho, hakuna cha kuogopa tena

Walishatumia kila aina ya vitisho, hakuna cha kuogopa tena

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
28,749
Reaction score
91,814
Ndugu zangu naendelea Kuwakumbusha, Kila Mmoja anao wajibu, DEC 9 asionekane MTU kubakia nyuma.

Ni kwanini Ubaki wakati Umeuliwa Dada,Kaka ,Mama, Mjomba, Baba, Mpenzi ,Mume ,mtoto, Babu??? Kwann Ubaki????

Tutatoka wote Kwa Wingi wetu,alafu maandamanao ya Dec 9 YATAKUJA tofauti kabisaaa .
 
safari hakuna mtu hatapigwa risasi Dunia yote inaangalia Tanzania kwa hiyo D9 ni salama sana kwa waandamanaji kuliko October 29
 
Usiseme hivo usalama huwezi kuwepo mana bibi netanyahu anatak damu anywe
 
Danganyaneni
Sawa mtekaji mume ua sana watu damu Zina walilia huwezi ona Sasa tulia a day is coming, walio muua bob Marley waliji ficha ila muda ulipo fika walitoka wenyewe KUOMBA radhi wakiwa vitandani wamepigwa na maradhi ya muda mrefu *****
 
Rudisha simu ukiyoiba.
 
Rudisha simu ukiyoiba.
Siwezi iba simu iliyo patikana kwa kumwaga damu baada ya kuteka watu alafu mnapewa vihela mkawasahaulishe watu ndo mnapata mitaji ya kufungua duka la simu kwa hela zilizopaswa kujenga hospitali wajawazito wasijifungulie vichakani, stupidddd
 
Rudisha simu ukiyoiba.
Siwezi iba simu iliyo patikana kwa kumwaga damu baada ya kuteka watu alafu mnapewa vihela mkawasahaulishe watu ndo mnapata mitaji ya kufungua duka la simu kwa hela zilizopaswa kujenga hospitali wajawazito wasijifungulie vichakani, stupi
 
Back
Top Bottom