Ili mwanachama wa Chadema afukuzwe chamani, huwa anakuwa kakiuka mambo yapi yasiyoonyeka?
Huo ni mzimu wa Chacha Wangwe wewe endelea kutoa ushauri kwenye sikio lakufa!
Msaliti, sehemu nyingine anauawa hadharani. Kama mnapanga mpango unaofadhiliwa na MaCCM, mnategemea mkishafanikiwa mtamtumikia nani?
* Dk Aman Walid Kaburu/ alifukuzwa
* Chama wangwe/ alisimamishwa uongozi mkamu/mwenyekiti Taifa
*Estomih Mallah, diwani (Arusha) Alifukuzwa
*John Bayo, diwani (Arusha) alifukuzwa
*Reuben Ngowi, diwani (Arusha) alifukuzwa
*charles Mpanda, diwani (Arusha) alifukuzwa
*Rehema Mohammed, diwani (Arusha) alifukuzwa
*Habiba Ally diwani (Mara) alifukuzwa
*Miriam Daudi, diwani (Mara) alifukuzwa
*Amani Mwipaja mwanasheria morogoro alifukuzwa
*David Kafulila kiongozi makao makuu, alifukuzwa
*Josephu kasamba, mwenyekiti BAVICHA Mbeya alifukuzwa
*Cosmas Sanga katibu bavicha mbeya alifukuzwa
*Allam Mwapamba, Baba mzazi wa Mtela mwapamba, alifukuzwa
*Mtela Mwapamba kiongozi BAVICHA, ALIFUKUZWA
*Julliana Shonza kiongozi Bavicha alifukuzwa
*Zitto Kabwe Zuber amesimanishwa
*Dk Kitila Mkumbo amesimamishwa,
*Samsoni Mwigamba, amesimamishwa.
HAWA WOOTE NA WENGINEO WALIFANYA MAKOSA NA KUFUKUZWA AMA KUSIMAMISHWA, SASA HAO WANAOLETA MAMBO YA UDINI NA UKABILA WATUAMBIE, JE HAWA WALIOFUKUZWA AMA KUSIMAMISWA NI WA DINI ZIPI! Je kuna uonevu, MIMI naona kuna uwajibikaji, na huu ni mfano mzuri kwa chama kinachotaka kuingia madarakani, kila kila anaefanya kosa ATAADHIBIWA BILA KUJALI YEYE NI NANI KWENYE CHAMA, NAWAPONGEZA SANA CHADEMA KWA UWAJIBIKAJI WENU, NAAMINI MTAKAPOONGOZA DOLA MTALETA UWAJIBIKAJI WENYE TIJA KATIKA TAIFA
MUNGU IBARIKI CHADEMA.
Si afadhali mimi kuliko wewe unayewatumikia kina Lowasa,Chenge na mafisadi wengine ndani ya ccm.Dhambi ya ubaguzi haitakuacha ukiwa salama. Wote wakifukuzwa mwisho wa siku utafukuzwa wewe kwa kosa dogo sana. Pia kama umeamua kuwatumikia akina Mbowe na Slaa, weka mbali mke wako au usioe kabisa
Itafute katiba ya chama na isome utayajua kwa uvuri sana.Ili mwanachama wa Chadema afukuzwe chamani, huwa anakuwa kakiuka mambo yapi yasiyoonyeka?
Jenga hoja ya kuonesha kama kuna mahusiano kati ya UKRISTO NA CHADEMA.Katika hao 19 Wakristo 15 na Waislam ni wa 4 tu. Kweli Chadema ni chama cha Wakristo
Jenga hoja ya kuonesha kama kuna mahusiano kati ya UKRISTO NA CHADEMA.
* Dk Aman Walid Kaburu/ alifukuzwa
* Chama wangwe/ alisimamishwa uongozi mkamu/mwenyekiti Taifa
*Estomih Mallah, diwani (Arusha) Alifukuzwa
*John Bayo, diwani (Arusha) alifukuzwa
*Reuben Ngowi, diwani (Arusha) alifukuzwa
*charles Mpanda, diwani (Arusha) alifukuzwa
*Rehema Mohammed, diwani (Arusha) alifukuzwa
*Habiba Ally diwani (Mara) alifukuzwa
*Miriam Daudi, diwani (Mara) alifukuzwa
*Amani Mwipaja mwanasheria morogoro alifukuzwa
*David Kafulila kiongozi makao makuu, alifukuzwa
*Josephu kasamba, mwenyekiti BAVICHA Mbeya alifukuzwa
*Cosmas Sanga katibu bavicha mbeya alifukuzwa
*Allam Mwapamba, Baba mzazi wa Mtela mwapamba, alifukuzwa
*Mtela Mwapamba kiongozi BAVICHA, ALIFUKUZWA
*Julliana Shonza kiongozi Bavicha alifukuzwa
*Zitto Kabwe Zuber amesimanishwa
*Dk Kitila Mkumbo amesimamishwa,
*Samsoni Mwigamba, amesimamishwa.
HAWA WOOTE NA WENGINEO WALIFANYA MAKOSA NA KUFUKUZWA AMA KUSIMAMISHWA, SASA HAO WANAOLETA MAMBO YA UDINI NA UKABILA WATUAMBIE, JE HAWA WALIOFUKUZWA AMA KUSIMAMISWA NI WA DINI ZIPI! Je kuna uonevu, MIMI naona kuna uwajibikaji, na huu ni mfano mzuri kwa chama kinachotaka kuingia madarakani, kila kila anaefanya kosa ATAADHIBIWA BILA KUJALI YEYE NI NANI KWENYE CHAMA, NAWAPONGEZA SANA CHADEMA KWA UWAJIBIKAJI WENU, NAAMINI MTAKAPOONGOZA DOLA MTALETA UWAJIBIKAJI WENYE TIJA KATIKA TAIFA
MUNGU IBARIKI CHADEMA.
Twambie hao wanatokea mikoa gani kwa asilimia kubwa.