3..kipo kifaa cha kutoka urusi kinauzwa milioni saba kinapima umbali maji yalipo na kiasi cha chumvi kilichopo1.bei ikoje kwa uchimbaji wa machine au Mkono.
2.wahusika wanao chimba wanapatikana wapi?
3.unawezaje kupata maji baridi?
4.changamoto zake zikoje
1.bei ikoje kwa uchimbaji wa machine au Mkono.
2.wahusika wanao chimba wanapatikana wapi?
3.unawezaje kupata maji baridi?
4.changamoto zake zikoje
Kwanza kafanye geological survey!hii bei inategemea na eneo lililopo!ili upate kujua unachimba mita ngapi kupata maji!!na bei ya kuchimba haipo constant,unaweza kuambiwa kwa mita ni kias flani pamoja na PVC na gravel!1.bei ikoje kwa uchimbaji wa machine au Mkono.
2.wahusika wanao chimba wanapatikana wapi?
3.unawezaje kupata maji baridi?
4.changamoto zake zikoje