PACHOTO
JF-Expert Member
- Dec 30, 2011
- 1,321
- 972
Huku mtwara waliotumbuliwa siku ya leo na mkuu wa mkoa mtwara ni watumishi wanne, maafisa utumishi wawili kutoka wilaya ya masasi kwa tuhuma za kujipatia fedha zaidi ya Tsh 100milioni, afisa utumishi wilaya ya nanyumbu huyu tumeambiwa kosa analifahamu mwenyewe aliyetumbuliwa na na wa mwisho ni mhandisi wa ujenzi wa wilaya ya nanyumbu kwa sbb ya kutorekebisha eneo llililofanyikia sherehe ya mei mosi huyu anatakiwa kuandikiwa barua ya onyo mara moja! Je mkoa wako nani katumbuliwa?