dux limit
Senior Member
- Jul 28, 2015
- 143
- 55
Hahahahaha....! Anatafuta kiki tu huyo, kwani kina mama walipokuwa wanalalamika walisema mbunge hawamuoni kawatelekeza.Unaweka mwanasheria akatetee watu wanaovunja sheria,
Ukienda mahakamani unanukuu sheria ipi ya kuwabeba Wateja wako(wamachinga)?
Mh jaji,nilikuwa nimepanga nguo barabarani.....una leseni ya biashara....sina......sheria ya barabara inakuruhusu....hapana.....nani alikupa kibali cha maandishi.....sijapewa.....una risiti ya kununulia nguo,sina.....sasa mahakama itajuaje idadi ya vitu vyako