Waliotemwa wote hakuna aliyeonewa

nditolo

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2011
Posts
3,802
Reaction score
4,459
1. Mwita Waitara
Huyu alinunuliwa kutoka chadema na akaliingiza taifa letu kwenye hasara kubwa. Alilopwa pesa na pia uchaguzi ukarudiwa. Tulikuwa na Serikali ya ajabu sana.

2. Kitila Mkumbo
Huyu hata ubunge pale ubungo alikuwa Hana uwezo wa kupata. Mwendazake bàda ya kujua kuwa huyu aliwahi kuwa kiongozi chadema akambeba na kimpa uwaziri. Kichwani hamna kitu utendaji zero

3. Kabudi
Hakuna asiyemjua. Huyu ndiye aliyekuwa master plan wa Kila kitu. Mpaka alienda kuonja dawa Madagascar kama mtaalam wa afya wakati ni mpuuzi mmoja tu hivi amejaa kujipendekeza. Huyu ndiye aliyekuwa kichwa Cha jiwe

4. Mwambe

Alipewa uwaziri bila kuangalia kuwa tangu kuwa mkurugenzi wa kituo Cha uwekezaji kafanya nini. Kwa kuwa jiwe alikuwa anafanyakazi kwa mzuka akamteua.

5. Lukuvi

Huyu Hana shida lakini ametumika miaka mingi sana mpaka inaboa. Bora mama apate washauri wapya kuliko kuendelea na wale wale .

Wengine malizia.


NB

Nape tunataka report ya kuvamiwa kituo Cha cloud na Makonda na wale waliokunyoshea bastola watafutwe Ili tuwarekebishe au kuwafurusha kabisa.

Makonda Yuko kama Sabaya mashangaa mpk Leo Yuko mtaani tu. Lkn pia Mnyeti na Gumbo Wana ya kujibu.

Hongera sana mama
 
Kww hiyo akina nape na ridhowani wana nini zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mabadiliko haya ,na ajabu hayawezi MSADIA SSH ,Ni vile tu hata wanao mshauri ni vipofu
 
Infact hiyo description ya Kitila, Kalamagenda na Waitara umewafanyia favour .
They are far worse than this. Especially Mkumbo kile kichwa ni Cha kufugia nywele tu.

Leo bia baridi zitamkoma Waitara .
 
Ni suala la muda tuu kubenea kapata wa kumshika mkono tena ni waziri. Makonda ajiandae kama chidi benz alivyomtabiria kwamba anaweza akawa mahabusu mtarajiwa.
 
Maelezo kuhusu lukuvi, kiukweli mie sijalewa, na uwezi kunielewesha, wengine sawa!
Alishindwa ku control uonezi waliokuwa wanafanyiwa akina Sumaye na Lowasa.

Mashamba Yao ya darslaam huko mabwe pande Makonda aliwanyang'anya wazee wa watu Lukuvi akakaa kimya

Kumbukeni visa vya aridhi kwa wastaafu
 
Mama kaamua kutoa watu waliotolewa jalalani
 
Kumnunua Waitara kwa mil 800 ilikuwa hasara ya kibwege sana !
 
Nosense tupu
Unamtoa Kabudi & Lukuvi unaingiza Nape! Ridhiwani!
 
Kwahiyo kwa lukuvi umetafuta maelekezo yako ya kizezeta umeyapachika ile uzi ukamilike

Sema tu ukweli lukuvi ni bora kuliko mama yako kwenye uongozi ndo mana katolewa asige m replace huyo mama yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…