Waliotarajia CCM itafarakana wameaibika

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
39,028
Reaction score
31,543
Kuna watu walichochea mgogoro ndani ya CCM wakitegemea mpasuko mkubwa.
Mwenyekiti na vyombo vyake wamefanikiwa kuivusha CCM Kwa mara nyingine tena.
CCM ni moja na inapambana na wapinzani
 
Kuna watu walichochea mgogoro ndani ya CCM wakitegemea mpasuko mkubwa.
Mwenyekiti na vyombo vyake wamefanikiwa kuivusha CCM Kwa mara nyingine tena.
CCM ni moja na inapambana na wapinzani
CCM imekufa kama cha Siasa bado kufutwa... Ndio tunachopigania kwa sasa
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…