M Mnafiki Wa Kujitegemea JF-Expert Member Joined Dec 30, 2022 Posts 4,832 Reaction score 7,973 Nov 15, 2024 #21 Angalia hii PERFECT COMBINATION. UVCCM, TISS na police. Sasa hapo unataka nani akawakamate kina nani?
Angalia hii PERFECT COMBINATION. UVCCM, TISS na police. Sasa hapo unataka nani akawakamate kina nani?
S sysafiri JF-Expert Member Joined Sep 19, 2019 Posts 9,115 Reaction score 13,365 Nov 15, 2024 #22 Baada ya wiki mmoja kama hakuna kinachoendelea sahau!
Msanii Platinum Member Joined Jul 4, 2007 Posts 26,476 Reaction score 40,100 Nov 15, 2024 #23 GoldDhahabu said: Itashamgaza kama bado wakati sura zao zimeshafahamika! 1. Wameshakamatwa? 2. Wako wapi? 3. Watakamatwa? 4. Polisi wanahitaji usaidizi wowote? PIA SOMA - Dar: Inasemekana tukio hili la utekaji limetokea Kiluvya, kutokana na uzito wa jamaa walishindwa kumchukua. Hakuna aliyetoka kumsaidia Click to expand... Shetani hawezi kumyoa shetani
GoldDhahabu said: Itashamgaza kama bado wakati sura zao zimeshafahamika! 1. Wameshakamatwa? 2. Wako wapi? 3. Watakamatwa? 4. Polisi wanahitaji usaidizi wowote? PIA SOMA - Dar: Inasemekana tukio hili la utekaji limetokea Kiluvya, kutokana na uzito wa jamaa walishindwa kumchukua. Hakuna aliyetoka kumsaidia Click to expand... Shetani hawezi kumyoa shetani
ras jeff kapita JF-Expert Member Joined Jan 4, 2015 Posts 22,728 Reaction score 34,859 Nov 15, 2024 #24 Wananchi ndio wanatakiwa wawawinde wenyewe. Mkisubiria serekali mtangoja sana.
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 96,211 Reaction score 137,617 Nov 15, 2024 #25 Wale ni waporaji unaweza waita majambazi raia walitakiwa wamalizane pale pale Sasa hyo deo siyo mwanaharakati Sasa ni chanzo cha wao kwenda kumkamata vile,au walitaka kwenda kumtemesha hela Hii serikali kuna ujinga fulani wanaulea Ova
Wale ni waporaji unaweza waita majambazi raia walitakiwa wamalizane pale pale Sasa hyo deo siyo mwanaharakati Sasa ni chanzo cha wao kwenda kumkamata vile,au walitaka kwenda kumtemesha hela Hii serikali kuna ujinga fulani wanaulea Ova
Samia atosha tukutane2030 JF-Expert Member Joined Apr 7, 2020 Posts 17,653 Reaction score 49,646 Nov 15, 2024 #26 CCM ni laana. Shithole country.
Mbwa dume JF-Expert Member Joined Jan 15, 2014 Posts 6,289 Reaction score 10,993 Nov 15, 2024 #27 GoldDhahabu said: Itashamgaza kama bado wakati sura zao zimeshafahamika! 1. Wameshakamatwa? 2. Wako wapi? 3. Watakamatwa? 4. Polisi wanahitaji usaidizi wowote? PIA SOMA - Dar: Inasemekana tukio hili la utekaji limetokea Kiluvya, kutokana na uzito wa jamaa walishindwa kumchukua. Hakuna aliyetoka kumsaidia Click to expand... Hawawezi kujikamata
GoldDhahabu said: Itashamgaza kama bado wakati sura zao zimeshafahamika! 1. Wameshakamatwa? 2. Wako wapi? 3. Watakamatwa? 4. Polisi wanahitaji usaidizi wowote? PIA SOMA - Dar: Inasemekana tukio hili la utekaji limetokea Kiluvya, kutokana na uzito wa jamaa walishindwa kumchukua. Hakuna aliyetoka kumsaidia Click to expand... Hawawezi kujikamata
Ngwathra Platinum Member Joined Jul 11, 2007 Posts 7,124 Reaction score 14,565 Nov 15, 2024 #28 Ishatoka hiyo, tupo busy na gamond for the next 2 weeks bro!
M migatomvaningi Member Joined Sep 9, 2024 Posts 57 Reaction score 62 Nov 15, 2024 #29 Wanatengeneza mazingira ya kuwaficha kwanza,ndio waanze kuwatafuta.
Isanga family JF-Expert Member Joined Feb 25, 2015 Posts 22,565 Reaction score 46,657 Nov 16, 2024 #30 Mbaya sana aisee ndio maana naikubali sana SA wale jamaa mpaka dakika hii wapo kwenye Friji hata wawe na vyeo gan sio kwa Wazulu..
Mbaya sana aisee ndio maana naikubali sana SA wale jamaa mpaka dakika hii wapo kwenye Friji hata wawe na vyeo gan sio kwa Wazulu..
R Retired JF-Expert Member Joined Jul 22, 2016 Posts 52,253 Reaction score 102,444 Nov 16, 2024 #31 Polisi wakamatane na wametumana