Waliosomea Procurement interview zinakuwaje

Habari zenu.
Niko na diploma ya procurement, Nshawahi fanya interviews za kazi nyingine lakini si ya kazi ya Procurement. Msaada nataka kujua interview za procurement zinakuwaje both oral and written, mtindo wa maswali yake unakujaje?
umeitwa kwenye interview gani mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…