Waliosomea civil engineering nao wanasota mtaani?

edimkali

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2013
Posts
212
Reaction score
139
hivi kuna watu wamesoma civil engineering na wanasota mtaani? Maana nataka nikapige course hiyo ata kadiploma maana maisha ya ualimu usipime

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kapige course ambayo unakuwia moyoni swala la ajira kwa mfumo wa bongo bado ila kitu utakacho chukua usilete masihara fight kweli kweli kujenga msingi mzuri katika hatua nyingine.
 
gonga cert ya electricity installation, huku uko mwalimu kule unawaungia watu umeme.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…