They are just daydreaming. Women have no place in high-level politics in this country. They should be satisfied with the positions they get in the cabinet and other government organizations. But leading the country? No, let's continue to leave that responsibility in the hands of males.
Buy why do you presume that women cannot lead? What is so special, which has/have. been done by men and you are convinced that women can not do?
Basing on the current trends and quality of leadership in Tanzania, I am of the opinion that women can do better than most of men politicians.
The question is weather, some of us, men, can swallow our pride.
I can do so.
Balozi Maajar namkubali sana ni kiongozi mzuri, lakini Asha Migiro hafai hata kuwa balozi wa nyumba kumi. Dr. Migiro ni product ya CCM, kama Getrude Mongera na Ann Makinda ambao wote ni majanga
kbm unazungumzia umoja wa mataifa au umoja wa koo?Dar es Salaam. Waliosoma katika Shule ya Sekondari ya Weruweru wametamba kuwa wanaamini rais wa kwanza mwanamke nchini anaweza kutoka miongoni wao, kutokana na kiwango cha elimu bora inayotolewa katika shule hiyo.
Hayo ameyabainisha jana Dar es Salaam, Mwenyekiti wa Umoja wa Wanafunzi waliosoma katika sekondani hiyo, Balozi Mwanaidi Maajar akijibu maswali ya waandishi alipokuwa akizungumzia kuhusu Maadhimisho ya Miaka 50 ya Sekondari ya Weruweru ambapo Waziri Mkuu, Mizengo Pinda anatarajiwa kuwa mgeni rasmi.
"Weruweru ilijizolea umaarufu kutokana na kutoa elimu bora kwa wasichana ambao wameweza kuendelea hadi kufikia kuwa viongozi, kama Dk Asharose Migiro ambaye alikuwa ni mwanamke wa kwanza kuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, tunaamini itakuwa ya kwanza pia kutoa rais mwanamke kwa sababu elimu tuliyoipata inatupa nafasi ya kuweza kufanya lolote," alisema.
Alifafanua kuwa kuna wanawake wengine waliosoma kwenye sekondari hiyo ambao ni viongozi katika nyanja za wafanyabiashara,madaktari, wanasiasa wanadiplomasia, waandishi, walimu, wahadhiri na wajasiliamali. Alisema wanalenga kukusanya Sh500 milioni katika maadhimisho hayo ya miaka 50.
Chanzo: Mwananchi
What has Tanzania learnt from having a first woman Speaker?
I can not see this happening in the near future .... We are tired of these people who are trying to campaign for Dr Asha Migiro ... She is not good enough to be our President.
Balozi Mwanaidi Maajar + WAMA + Mama Kikwete + UWT somehow think only and only Mama Migiro can be our next President.
Kwenye nchi ya wpmbavu mjinga huwa mwerevu,kwa hiyo leo hata mtu kama Ponda akiwa katibu mkuu wa wapagani duniani akija tunampa nchi aongoze bila kujiuliza kuwa kama alipata wadhifa mkubwa hivyo na akashindwa kutusaidia,atatusaidia nini tukimpa u prezidaa?au ndiyo itakuwa fursa yake kwenda kuwasalimia mashoga zake US?Dar es Salaam. Waliosoma katika Shule ya Sekondari ya Weruweru wametamba kuwa wanaamini rais wa kwanza mwanamke nchini anaweza kutoka miongoni wao, kutokana na kiwango cha elimu bora inayotolewa katika shule hiyo.
Hayo ameyabainisha jana Dar es Salaam, Mwenyekiti wa Umoja wa Wanafunzi waliosoma katika sekondani hiyo, Balozi Mwanaidi Maajar akijibu maswali ya waandishi alipokuwa akizungumzia kuhusu Maadhimisho ya Miaka 50 ya Sekondari ya Weruweru ambapo Waziri Mkuu, Mizengo Pinda anatarajiwa kuwa mgeni rasmi.
Weruweru ilijizolea umaarufu kutokana na kutoa elimu bora kwa wasichana ambao wameweza kuendelea hadi kufikia kuwa viongozi,, tunaamini itakuwa ya kwanza pia kutoa rais mwanamke kwa sababu elimu tuliyoipata inatupa nafasi ya kuweza kufanya lolote, alisema.kama Dk Asharose Migiro ambaye alikuwa ni mwanamke wa kwanza kuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa
Alifafanua kuwa kuna wanawake wengine waliosoma kwenye sekondari hiyo ambao ni viongozi katika nyanja za wafanyabiashara,madaktari, wanasiasa wanadiplomasia, waandishi, walimu, wahadhiri na wajasiliamali. Alisema wanalenga kukusanya Sh500 milioni katika maadhimisho hayo ya miaka 50.
Chanzo: Mwananchi
Balozi Maajar namkubali sana ni kiongozi mzuri, lakini Asha Migiro hafai hata kuwa balozi wa nyumba kumi. Dr. Migiro ni product ya CCM, kama Getrude Mongera na Ann Makinda ambao wote ni majanga
Waliosoma Weruweru watamba kutoa rais wa kwanza nchini
Dar es Salaam. Waliosoma katika Shule ya Sekondari ya Weruweru wametamba kuwa wanaamini rais wa kwanza mwanamke nchini anaweza kutoka miongoni wao, kutokana na kiwango cha elimu bora inayotolewa katika shule hiyo.