Daraja Makofia
JF-Expert Member
- Mar 30, 2015
- 729
- 969
Umenikumbusha kitabu kimoja Cha Engineering Science kiliandikwa na mwamba mmoja aliitwa T.T Comb.Mnatumia vitabu vimetungwa enzi za mjerumani kina mambo mengi balaa.
mashine ticha kaificha tu inapigwa na vumbi tu ofisini, hamtumii.
Kuna ticha anaitwa mwakasege pale iyunga wa welding, yule wanafunzi wake alikuwa anawafundisha mpaka practical. Naamini wale jamaa wakitoka pale wanaweza kujiajili.
mkuu si tulisoma Electronics and Radio servicing hatukuwahi kufungua radio wala Tv ila wengine walikua wanapiga ila kuna watu huwa wanatafuta changamoto tu 🤣Elewa mada babu,kila mtu kaambiwa alete changamoto ya hizi shule,sasa mtoa mada kapiga iyunga tech labda ndo walikuwa wanapiga theory tuuu ila sie ifunda tech class ya civil engeneering tuligusa tope kwahiyo sio shule zote wanapiga theory tuu
hivi vile vitabu vipo madukani kwenye bookshop kubwa ?Umenikumbusha kitabu kimoja Cha Engineering Science kiliandikwa na mwamba mmoja aliitwa T.T Comb.
Yaani ukitembelea humo, ilikuwa kama unawachungulia NECTA wanavyoingia kwenye mfumo.
Yah ni kweli pia Iyunga tech hata walimu wa science hakuna hususani PhysicsElewa mada babu,kila mtu kaambiwa alete changamoto ya hizi shule,sasa mtoa mada kapiga iyunga tech labda ndo walikuwa wanapiga theory tuuu ila sie ifunda tech class ya civil engeneering tuligusa tope kwahiyo sio shule zote wanapiga theory tuu
Hakika. Kwa sasa napambana na andiko langu la Masters. Mwezi wa 8 namaliza.hadi Masters au PHD
advance kaka kweli changamoto ishawahig hata kuwa kumi bora ya mwisho aiseeYah ni kweli pia Iyunga tech hata walimu wa science hakuna hususani Physics
hongera kaka wakilisha vyema usiache kuwafariji wana wa Mtwara TechHakika. Kwa sasa napambana na andiko langu la Masters. Mwezi wa 8 namaliza.
Darasani haikuwa issue sana. Ni mterezo tu.
Pale Mtwara Technical kulikuwa na copies chache zililetwa na walimu Wamarekani wa Peace Corp.hivi vile vitabu vipo madukani kwenye bookshop kubwa ?
Pale kulikuwa na mwalimu anaitwa Urban Nguli. Vipi unamfahamu? Maana naona majina yanafanana.hongera kaka wakilisha vyema usiache kuwafariji wana wa Mtwara Tech
anhaa sawa ngoja nitafute mtandaoni tuPale Mtwara Technical kulikuwa na copies chache zililetwa na walimu Wamarekani wa Peace Corp.
Ila wanafunzi walikua wakijiongeza na copies zilibaki chache.
Mimi nilifanikiwa kufanya photocopying na hiyo copy ikaja kupotea.
Nilijaribu kutafuta mitandaoni, sikufanikiwa.
Aksante sana kwa kuileta hii shule yangu ya zamani (1972-75) enzi hizo zilikuwa mbili tuu Ifunda and Moshi Technical Secondary Schools baadae zikaja tena mbili Tanga and MtwaraIfunda Technical Secondary school
View attachment 2645250
pia unasoma na some of geniusInferiority tuu hamna ukweli wowote kwasababu shule za tech wanafunzi wake wanajipambania kama shule za kata tu,special treatment ni kwamba wanasoma masomo ya ziada ya ufundi na pia hawalipi mchango wowote.
karibu sanaAksante sana kwa kuileta hii shule yangu ya zamani (1972-75) enzi hizo zilikuwa mbili tuu Ifunda and Moshi Technical Secondary Schools baadae zikaja tena mbili Tanga and Mtwara
Mm nilikuwa bweni la mirambo K4 unapajua lyandembela??Ifunda tech moja hiyo,sema sahizi wameikarabati inavutia kinoma.
Changamoto lilikuwa liticha linaitwa mwakalago,yani ticha kama upo humu nakumind mpaka leo.Ulikuwa mnoko kichizi
Si kweli. Mimi nilisoma umeme wakati nipo O-Level. Kulikuwa na vipindi vya practical na tuliingia workshop ambapo mnauda circuits tofauti kwenye meza zilizo na mbao maalumu Kwa ajili ya kugunga vifaa vya umeme.Mtoa mada kasema "Ufundi mnasomea darasani tu hakuna vitendo"
Chaburuma na Seuta ndiyo kidogo zimekaribia LyandembelaMm nilikuwa bweni la mirambo K4 unapajua lyandembela??
Nimeipenda hii naweza kuja pm maana nina binti yupo huko mtwara tech form 1Si kweli. Mimi nilisoma umeme wakati nipo O-Level. Kulikuwa na vipindi vya practical na tuliingia workshop ambapo mnauda circuits tofauti kwenye meza zilizo na mbao maalumu Kwa ajili ya kugunga vifaa vya umeme.
Pia Mwl. Urban Nguli alikuwa anapewa kazi mtaani na alikuwa akituchukua kufanya kazi hizo Kwa mikono yetu kisha anakuja kukagua.
Mfano Kuna wakati Fulani alipata kazi ya kufanya marekebisho ya mfumo wa umeme pale Chuo Cha Ualimu. Alituita na tukaenda kupiga show kama kawaida.
Hii ilinifanya niwe napiga hela hata nikiwa likizo nyumbani. Huyu Mwalimu alituhimiza pia kuwa tufanye Ile mitihani ya Trade Test ya VETA. Yaani nilikuwa Certified Electrician hata kabla sijamaliza Secondary School.
KaribuNimeipenda hii naweza kuja pm maana nina binti yupo huko mtwara tech form 1
Sent using Jamii Forums mobile app