Urban Edmund
JF-Expert Member
- Mar 20, 2018
- 2,276
- 3,663
We jamaa bila shaka umesoma Iyunga o level 2012-15Habari za kazi wana Jf, Tunajua kuna level nne za shule (secondary/Ordinal level) hapa kwetu Tanzania
1. Special (Vipaji maalumu)
2. Technical (Ufundi)
3. Boarding (Bweni kawaida)
4. Teule (shule za halmashauri )
5. Day (kata)
wale waliosoma shule za ufundi tujadili ubora na madhaifu yaliyokukuta/ulioyaona kwenye shule hizi (Iyunga, Ifunda, Mtwara Tech, Moshi Tech, Tanga Tech, Musoma Tech na Bwiru Tech zimeongezeka mwadui na chato Tech)
changamoto
• ufundi mnasomea darasani tu hakuna vitendo
Faida
•Engineering science ili somo tamu bana ila sijawahi jua kati ya Physics na ES lipi gumu zaidi madude ya Projectile, angular motion unayapiga ukiwa three tu
• wananolewa vijana ambao wanaenda kuwa wasumbufu sana huko special Advance mfano Cloud Kitumbika pale Tabora school no 3 TO 2020
•wanazalishwa maEngineer waliopure sana wakipita Tech
tupia unalolijua kuhusu Technical schools
ndio haswa waarabu wa Pemba hujuana kwa vilembaWe jamaa bila shaka umesoma Iyunga o level 2012-15
The glorious 💪Ifunda Technical Secondary school
View attachment 2645250
nyumbani ni nyumbani bigThe glorious 💪
karibu kaka changia kama una mshkaji wako alipigaga hizi shule ubora wake uliuona wapiTuliosoma seminary huu uzi hautuhusu
kuna bonge la mgate sijui ulikuepo kipindi hicho ?Ifunda tech moja hiyo,sema sahizi wameikarabati inavutia kinoma.
Mimi nimetoka juzi kati hapo kila kitu wameboresha.Mgeti mweusikuna bonge la mgate sijui ulikuepo kipindi hicho ?
Bongo ukiwa umenyooka hutaki konakona unaitwa mnoko after all hizi tech schools naona zilikuwa zamani sahvi hamna kitu hawa vijana wa tech nilikiwa nawaona vipanga ila advance weupe sana tu watoto wa kata tumejipigia tu.Ifunda tech moja hiyo,sema sahizi wameikarabati inavutia kinoma.
Changamoto lilikuwa liticha linaitwa mwakalago,yani ticha kama upo humu nakumind mpaka leo.Ulikuwa mnoko kichizi
alikuwaje huyo isije ikawa wewe ndo ulikuwa na shidaIfunda tech moja hiyo,sema sahizi wameikarabati inavutia kinoma.
Changamoto lilikuwa liticha linaitwa mwakalago,yani ticha kama upo humu nakumind mpaka leo.Ulikuwa mnoko kichizi
hio inategemea na mtu mkuu wengine kweli tuko shallow ila wengine wako vizuri bruBongo ukiwa umenyooka hutaki konakona unaitwa mnoko after all hiz tecj school naona zilikuwa zamani sahvi hamna kitu hawa vijana wa tech nilikiwa nawaona vipanga ila advance weupe sana tu watoto wa kata tumejipigia tu.
Unakutana na mtu katoka tech anakuletea swali mpka unajiuliza mara mbili mbili huyu jamaa yupo serious na shule ila unaambiwa darasa la saba alipiga marks kibao kwenda pale.hio inategemea na mtu mkuu wengine kweli tuko shallow ila wengine wako vizuri bru
kujisahau wengine wakienda huko hawasomi kabisa wengine wanapangiwa kwa mchongo tuUnakutana na mtu katoka tech anakuletea swali mpka unajiuliza mara mbili mbili huyu jamaa yupo serious na shule ila unaambiwa darasa la saba alipiga marks kibao kwenda pale.
Mnakumbwaga na nini vipanga wetu wa darasa la saba
😂😂😂Cheki mende hiiBongo ukiwa umenyooka hutaki konakona unaitwa mnoko after all hizi tech schools naona zilikuwa zamani sahvi hamna kitu hawa vijana wa tech nilikiwa nawaona vipanga ila advance weupe sana tu watoto wa kata tumejipigia tu.